pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,728
Na ndo uwezo wake ulipoishia (angekupa nini tena) in mbosso's voiceHow Vinincius couldn't score there? Sijui ana ugonjwa wa kuangukaanguka!
Kabisa tusije dharilika mbele huko.Nina amini kuna kazi kubwa sana yakufanya kwa ajili ya msimu ujao..tunacheza lakin hatuna mipango yakushinda,...sioni kama kuna kuendelea hatua inayofuata,kwa UCL tuseme kwa msimu imetosha..
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sanaNina amini kuna kazi kubwa sana yakufanya kwa ajili ya msimu ujao..tunacheza lakin hatuna mipango yakushinda,...sioni kama kuna kuendelea hatua inayofuata,kwa UCL tuseme kwa msimu imetosha..
Sent using Jamii Forums mobile app