Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #44,001
The wait is over - the ball is rolling at the Bernabéu!
¡VAMOS EQUIPO!
¡VAMOS EQUIPO!
Anazngua final pass lakin dogo ndo mwenye threat ya kupita mabek huko mbele...bila huyo madrid hamna attack yyte we angalia attack nying zinatokea kwa nan au upande gan?
HT:Kimsingi tumecheza sana eneo la kati kurudi nyuma,haionekani kama tunahitaji kushinda...sikumbuki kama tuna on target hata moja...game yoyote kubwa inayohitaji maamuzi ya kiutu uzima huwezi muanzisha benzema na Vin Jr kwa wakati mmoja...unahitaji watu wenye umakini ambao tuseme katika nafasi tatu lazima akutungue moja..Rodryigo ni mtu makini kuliko Vin Jr au Benzema japokuwa kiuzoefu siyo sana lakin anaweza fanya kitu...kulegea kwa foward maana yake tunalazimika kushambuliwa sana na hii ni hatar...tukiendelea hivi naona Barca wakishinda(inauma kusema hivi ila hakuna namna).
Sent using Jamii Forums mobile app
ile own goal banaVINIICUSSSS VINICIUSSS VINICIUSSS VINICCIUS VINICIUSSS VINICIUSSSS VINICIUSSSS VINIICUSSSS VINICIUSSS VINICIUSSS VINICCIUS VINICIUSSS VINICIUSSSS VINICIUSSSS VINIICUSSSS VINICIUSSS VINICIUSSS VINICCIUS VINIICUSSSS VINICIUSSS VINICIUSSS VINICCIUS VINICIUSSS VINICIUSSSS VINICIUSSSS