Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #38,821
Double change,
Casemiro and Lucas Vazquez ➡ OFF
Modric and Mariano ➡ ON.
Casemiro and Lucas Vazquez ➡ OFF
Modric and Mariano ➡ ON.
kuna ktu hakipo sawa kwenye timu...doesnt make sense unapga pass 776 then unakua na shot on target 4 wat u created wth those passes?Wakuu hivi sheria gani imefuata hadi mpo juu ya Roma kwenye kundi?. Huku shangwe tu japo kipigo kwenu imekuwa siyo stori tena.
View attachment 885091
Sina cha kushangaa Madrid kutofunga goli mechi tatu maana bila sababu ya msingi team iliamua inaweza kuishi bila goli 50 za CR7 sasa karma inarudi kwa maneno ya Mr pancha(bale) na le captain Ramos, wakati huu mgumu Perez na genge lake waliamua kuipitisha team,barca sio wajinga kumuongezea mkataba mrefu Messi tusubiri muda utasema
Hatari sanaUnataka kugombana na wenzako, walisema siku hizi mnacheza kitimu zaidi na si kumtegemea mtu mmoja.
Sina cha kushangaa Madrid kutofunga goli mechi tatu maana bila sababu ya msingi team iliamua inaweza kuishi bila goli 50 za CR7 sasa karma inarudi kwa maneno ya Mr pancha(bale) na le captain Ramos, wakati huu mgumu Perez na genge lake waliamua kuipitisha team,barca sio wajinga kumuongezea mkataba mrefu Messi tusubiri muda utasema
Hizo 50 goals mbona hatoni dalili zake huko Juventus?
Wakati real anakula kichapo kwa spurs mwaka jana mzee wa 50 goals hakuwepo?
Wakati Real inastraggle kwenye ligi mpaka ikifikia nafasi ya 7 mwaka jana mzee wa 50 goals alikua hayupo?