Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Yaan madrid kweli tunaitaji boost kidogo ..kwangu mie naona leo tumecheza kiwango cha chini kuliko ata game ya supercup ,kwa hii madrid niliyoona leo sijui kama tutatoboa mwisho wa safari
Tunapiga pass mingi zisizokuwa na chances
Bado,bado,bado team sio ya kuanza kupiga yowe na kutembea vifua mbele
Tunapiga pass mingi zisizokuwa na chances
Bado,bado,bado team sio ya kuanza kupiga yowe na kutembea vifua mbele