mashish
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 831
- 544
Penati ya kwanza kaAscensio kaijirusha kishenzi. Ile wangeenda kwa VAR wangeona ni dive kabisa.Penalties zinawaokoa...
Penati ya kwanza kaAscensio kaijirusha kishenzi. Ile wangeenda kwa VAR wangeona ni dive kabisa.
Siku hizi bila kujirusha rusha inakuwa ngumu kwenu kuwa na uhakika wa kupata magoli
E&K
Achana nao hao, bahati mbaya sana team itawaumbua hadi wataacha kuja humu kabisaLa liga imeanza juzi tu, Champions league wala Copa del Rey hatujui lini, wewe unasema siku hizi. Haters bhana!
Mariano yule Dogo anajua nashangaa kwa nini tulimuuzaga, Dogo ni pure number 9.Habari inayo - trend kwenye mitandao kwa sasa ni kwamba, Mariano Diaz anarudi Bernabéu kuja kuongeza nguvu.
Mariano yule Dogo anajua nashangaa kwa nini tulimuuzaga, Dogo ni pure number 9.
Sent using Jamii Forums mobile app