Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Atletico walishatufunga 4-0 na ronaldo akiwa uwanjani, acheni ushaniki mandazi, huu no mpira una matokeo matatu, kuwin, kuloose or draw. Narudia tena msiwe kama mmeujua Mpira jana.
ilikuwa kwa kubahatisha lakini bila Ronaldo hivi sasa ni vipigo mfululizo vinakuja
 
Pale unapo kutana na mhuni zaidi yako
IMG-20180816-WA0005.jpg
 
Obviously Without Ronaldo You are Nothing.... Hapa ndiyo unapojua Kama Zidane Ni mjanja alipoona upepo umebadilika tu kaamua kusepa. 😀😀
 
mtakuja na allegations zote ili kujustfy kuwa madrid bila ronaldo sio kitu as if alipokuwepo tulikuwa hatufungwi.... hii ni mechi kama mechi nyingine tu kufungwa kupo huwez shinda siku zote. by the way ligi inaanza soon nadhani kikosi hiki kitawafunga midomo
 
Team haikuwa vibaya tulikosa umakini ..upande wa defence na sub za kocha nazo hazikuwa nzuri still coach anakitu cha kujifunza na kufanya cha zaidi katika timu..tusubiri msimu mpya uanze tuone mambo itakuaje

Atm ni wazuri wanajua kucheza na madrid walitumia makosa yetu vizuri en wanastahili ushindi
 
Atletico walishatufunga 4-0 na ronaldo akiwa uwanjani, acheni ushaniki mandazi, huu no mpira una matokeo matatu, kuwin, kuloose or draw. Narudia tena msiwe kama mmeujua Mpira jana.

mkuu acha kupingana na uhalisia ambapo watu wanaona wazi kuwa kuna upungufu wa ufungaji na kazi hiyo alikuwa akiifanya vyema LEGEND WETU CR7...KWA ULICHOANDIKA HAPO NI SAWA NA KUSEMA "MESSI SIO ENGINE YA BARCELONA MAANA ATA BARCA NAYO IMEFUNGWA MARA KADHAA NAYEYE AKIWEPO UWANJANI"....WEWE UMEONGEA HAYO HAPO KWA KUWA TU KUNA MDAU AMEONGELEA PENGO LA RONALDO NA NAFIKIRI ALILENGA HASA KWENYE UFUNGAJI...Najua uligusia match hii sio???

vukile_zulu-1029965920238804993-20180816_083945-img1.jpg

VIPI MBONA HUZUNGUMZII NA HILI PIA AU TUSEME NDO KUJITOA KUMBUKUMBU???
ReliableRonaldo-1029883503050149889-20180816_031216-img1.jpg

Acha kuwa na fikra potofu maana ata huyo ronaldo ni binadamu pia hawezi kuwa kwenye form kila mechi hivyo hakuna cha kushangaa madrid ilipigwa nne nayeye akiwapo ndani na vipi kama timu nzima ilipoteana angewezaje kurecover hizo nne by himself???

Naomba unielewe kuwa hapa Si maanishi kuuzwa kwa ronaldo ni tatizo kwa real madrid...isipokuwa shida imekuja pale ambapo team haijatafuta mbadala wake na ilihali transfer fee euro105/= za ronaldo zimelipwa na juve isipokuwa clause yake bado na italipwa kwa installments na pia timu ikiwa haikusajili jina kubwa kipindi cha miaka mitatu hapo nyuma hivyo kuna transfer money ya kutosha pale bernabeu sasa kwanini tusisajili??? au ndo kusema perez sasa anarudisha pesa zake during his final years as madrid president and not planning to organize the team anymore??? ifahamike si rahisi kuchukua vikombe ukiwa na washamba kama asensio(si maanishi yeye sio mchezaji isipokuwa bado hafai kuwa straiker tegemezi wa kudrive team forward miweke sawa hapa asensio hamfikii ata dogo mwenzie wanamwita MBAPPE yupo PSG sasa kwanini akabidhiwe mikoba mizito pale REAL???)
 
Alinifurahisha sana Diego Costa
Ndio maana Mpaka leo namlaan Antonio conte

mkuu costa ni moja ya pure No.9 wachache waliobakia kwenye zama hizi wanaojua kazi ya nafasi zao wawapo uwanjani wengine ni kama CAVANI, LEWANDOWSKI, NA SUAREZI. namkubali sana costa hana skills na mambo mengi ila kufunga yupo njema tu.
 
Obviously Without Ronaldo You are Nothing.... Hapa ndiyo unapojua Kama Zidane Ni mjanja alipoona upepo umebadilika tu kaamua kusepa. 😀😀

Zidane kakimbia. Wachezaji walimbeba sana kwa kutumia individual skills kumlindia reputation yake but his tactics sucks. Real Madrid struggled a lot last season. Mpaka leo sielewi sababu aliyofatunya tutolewe Copa del Rey. And that 19 points behind Barcelona is unforgivable
 
Benzema is a World class player, he can hold the ball and he's everything to Real Madrid forward before Ronaldo was there. Kocha alitakiwa kumchezesha Asensio all 120 minutes sio kubahatisha. Mark my words, hii timu itawapiga Catalans nje ndani na hata tukikutana Champions League jiandae kwa majonzi. Nimeona kitu ambacho hujakiona
Nimescreenshoot hii post yako, muda ukifika tutakumbushana!
 
mkuu costa ni moja ya pure No.9 wachache waliobakia kwenye zama hizi wanaojua kazi ya nafasi zao wawapo uwanjani wengine ni kama CAVANI, LEWANDOWSKI, NA SUAREZI. namkubali sana costa hana skills na mambo mengi ila kufunga yupo njema tu.
Umenena vyema kabisa mkuu
 
Hapa mapundit wengi lakini hawajui tatizo lilikuwa wapi. Mkuu Salamander hapo juu kaelezea vizuri tu kwanini tumepoteza hii game. Magoli matatu tumefungwa kwasababu mabeki hawakuwa makini. Ramos as a captain anatakiwa awe anawapanga wenzake jinsi gani ya kulinda goli kuliko kujifanya mpiga penalties. We can't blame Bale or Asensio on how we conceded goals. Nakataa hii game tulifungwa kwasababu tatizo lilikuwa ni forwards. NO.
kama tatizo sio forward mbona hawakufunga?
 
Now everyone is praising Ronaldo while siku zote ndo alikua mbeba lawama anyway we're the best and we'll keep that record just a matter of time ans yes we have some serious work to do but in the end we'll surprise all anti Madrid.

HALA MADRID
 
mkuu acha kupingana na uhalisia ambapo watu wanaona wazi kuwa kuna upungufu wa ufungaji na kazi hiyo alikuwa akiifanya vyema LEGEND WETU CR7...KWA ULICHOANDIKA HAPO NI SAWA NA KUSEMA "MESSI SIO ENGINE YA BARCELONA MAANA ATA BARCA NAYO IMEFUNGWA MARA KADHAA NAYEYE AKIWEPO UWANJANI"....WEWE UMEONGEA HAYO HAPO KWA KUWA TU KUNA MDAU AMEONGELEA PENGO LA RONALDO NA NAFIKIRI ALILENGA HASA KWENYE UFUNGAJI...Najua uligusia match hii sio???

View attachment 837477

VIPI MBONA HUZUNGUMZII NA HILI PIA AU TUSEME NDO KUJITOA KUMBUKUMBU???
View attachment 837478

Acha kuwa na fikra potofu maana ata huyo ronaldo ni binadamu pia hawezi kuwa kwenye form kila mechi hivyo hakuna cha kushangaa madrid ilipigwa nne nayeye akiwapo ndani na vipi kama timu nzima ilipoteana angewezaje kurecover hizo nne by himself???

Naomba unielewe kuwa hapa Si maanishi kuuzwa kwa ronaldo ni tatizo kwa real madrid...isipokuwa shida imekuja pale ambapo team haijatafuta mbadala wake na ilihali transfer fee euro105/= za ronaldo zimelipwa na juve isipokuwa clause yake bado na italipwa kwa installments na pia timu ikiwa haikusajili jina kubwa kipindi cha miaka mitatu hapo nyuma hivyo kuna transfer money ya kutosha pale bernabeu sasa kwanini tusisajili??? au ndo kusema perez sasa anarudisha pesa zake during his final years as madrid president and not planning to organize the team anymore??? ifahamike si rahisi kuchukua vikombe ukiwa na washamba kama asensio(si maanishi yeye sio mchezaji isipokuwa bado hafai kuwa straiker tegemezi wa kudrive team forward miweke sawa hapa asensio hamfikii ata dogo mwenzie wanamwita MBAPPE yupo PSG sasa kwanini akabidhiwe mikoba mizito pale REAL???)

Mkuu,
Tulitukanwa humu mpaka tukaamua kukaa kimya tuwaachie wenye timu waongee...kikowapi leo?!... tuliitwa fanboy na majina mengi ya dharau...Ukweli utabaki kuwa ukweli tu...

Sikatai Ronaldo kuondoka ila hakuna mbadala na hata kipiindi kile tulisema hakuna mbadala wa huyu muacheni acheze kwasabab yeye kuwepo tu uwanjani hesabu una goli...leo timu inaingia uwanjani hujui hata nani anauwezo wa kuokoa timu wakati wa hatari... mkishapigwa goli mnasubiri bahati nasibu.

Tutafute striker anayetisha kama Ronaldo ile kuwepo tu ni tishio tosha...
 
kwanamna perezi alivyonuna ile jana akiwa pembeni ya president wa atletico kwenye fainali...nina imani kuwa wiki ijayo haiishi yupo straiker makini atatua bernabeu ata kama sio kutokea uingereza. maana tukienda kwa namna ile ya jana twaweza jikuta tunastruggle ata kuqualify for uefa msimu ujao, hivi vitu vipo wazi ona ata arsenal walianza msimu fulani hivi wakapambana sana kuingia big-4 pale uingereza ndovilevile kama sisi tulivyopamabana msimu uliopita hadi tunaachwa gap la point:19 na barca...kisha msimu uliofata arsenal wakaishia kuqualify for europa league ndo hadi kukumbana na atletico msimu uliopita na kungolewa....sasa na sisi tukienda kwa mwendo huu si ndo kwenda europa kwenyewe huku.
 
Mkuu,
Tulitukanwa humu mpaka tukaamua kukaa kimya tuwaachie wenye timu waongee...kikowapi leo?!... tuliitwa fanboy na majina mengi ya dharau...Ukweli utabaki kuwa ukweli tu...

Sikatai Ronaldo kuondoka ila hakuna mbadala na hata kipiindi kile tulisema hakuna mbadala wa huyu muacheni acheze kwasabab yeye kuwepo tu uwanjani hesabu una goli...leo timu inaingia uwanjani hujui hata nani anauwezo wa kuokoa timu wakati wa hatari... mkishapigwa goli mnasubiri bahati nasibu.

Tutafute striker anayetisha kama Ronaldo ile kuwepo tu ni tishio tosha...
Real madrid sasa hivi ni kama celta vigo tu
 
Back
Top Bottom