Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Now everyone is praising Ronaldo while siku zote ndo alikua mbeba lawama anyway we're the best and we'll keep that record just a matter of time ans yes we have some serious work to do but in the end we'll surprise all anti Madrid.

HALA MADRID
Hahaha, maneno ya kujifariji.

Poleni sana, jana mmecheza sawa na Man Utd, yaani kama wacheza mpira walojikusanya pamoja bila kujali namba.
 
Huu mwaka Atletico anawapiga nje ndani, Barca naye pia.

Hivi vitimu vingine vitawakazia navyo kimoja kimoja.


Did you watch the game? Real Madrid wako vizuri, Atleti are tight in defence na wamecheza kufa na kupona but Benzema still scored. Few mistakes they made decided the game, lakini usiwachulie poa kihivyo. It is Real Madrid.
 
Did you watch the game? Real Madrid wako vizuri, Atleti are tight in defence na wamecheza kufa na kupona but Benzema still scored. Few mistakes they made decided the game, lakini usiwachulie poa kihivyo. It is Real Madrid.
I watched the game yes, you got few chances of which CR7 could have converted.

Atletico's defence looked good because all Real's foward were mediocres, no one was threatening them.

Remember, it needed more than one defender to closely watch Ronaldo, the fact that was leaving Benzema and Co so open.

We will be here, we will all see how you will struggle all this season to a point you will admit missing Ronaldo.
 
NEYMAR remains on Real Madrid’s radar - and they could launch a stunning bid for the PSG ace before the transfer window slams shut on August 31, according to Diario SPORT.
 
Atleti tactics inajulikana, Ramos, Marcelo na Värane wanastaili kubeba lawama.
Atletico wamebadirika sana. Hawatumii tactics zilezile. Wana piga pasi na kushambulia. Siyo wale wa kujilinda.
 
Sundays games mida hii ni lawama. Mi kesho nina box la kufa mtu. Hope we take these 3 points. Hala Madrid
 
First goal carvajal
1534716168746.gif
 
Back
Top Bottom