Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mourinho kuwachezesha Vini na Diomande kwa wakati mmoja kunafanya timu inakosa balance.

Nadhani hata yeye amefanya kama jaribio kuona itamletea matokeo gani ikiwa Diomande na Vini wakacheza pamoja.
 
Usikute yanayosemwa mtaani kuwa huyu Vin Jr ni copy niya kwel...maana siyo kwa uozo huu anaoufanya...Vin hawezi hata kupiga chenga ya baiskeli??!hawezi hata piga chenga mtu mmoja...
 
Maninaa...hadi sasa hivi kufungwa mbili kwa moja ni kosa la kocha...unakaaje na mchezaji ndani ni mzigo humo...timu imekatika katikati hakuna control hapo,Camavinga game imempalia hii toka mwanzo...anakimbizwa tu humu ndani.🤬🤬🤬
 
Gari la mkaa Trip, shamba Trip gereji.

Perez aliona mbali
 

Attachments

  • FB_IMG_1793880805023.jpg
    FB_IMG_1793880805023.jpg
    156.9 KB · Views: 0
Back
Top Bottom