Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #38,221
When Casemiro injured, my heart broke, and Lopetegui brought Ceballo on and sub Toni for Mayoral instead of Llorente. I'm very sad. I need more beers
Real Madrid wanaupiga fresh, Atleti
Kuupiga fresh peke yake haitoshi, mnahitaji world class striker. Benzema hawezi kuibeba team!
Maana mnaupiga mwingi ila hamfungi, jamaa wakipiga pasi nne wanaweka goli.
Habari za muda fellow fans, kiukweli inauma sana kupoteza kwenye derby especially on the big stage like this in relation to what president perez said during the announcement of courtois of signing for real madrid...I Recall Perez Words on that day as he said them to courtois "WELCOME TO THE TEAM THAT DOES NOT KNOW THE MEANING OF IMPOSSIBLE"....But I think finally we got to understand that it's impossible to rebound against atletico madrid and convert their 2-4 win to our winnning streak just earlier before the biginning of the new laliga season 2018/19...let's be serious and now the question is can we survive the upcoming 38 matches in league and 13 matches in UEFA along with a current squad with atleast the aim for achieving a place on top-4 spot in the spanish league table at the end of the new season???, Twende kwenye point sasa...hizo lawama zako kwenda kwa marcelo hazina mashiko kwa kuwa sote TUMESHUHUDIA JAMAA KAINGIZA CROSSES SI CHINI YA 7 ZENYE AKILI KWENYE 18-YARD BOX LAKINI TUJIULIZE JE NI NANI AMEBENEFIT NAZO???....na imani kama huwa unaangalia vizuri style ya uchezaji ya madrid tokea kitambo basi huwezi bisha kuwa takribani asilimia 80% ya magoli ya timu yetu yanatokea kwenye crosses za pembeni na huyo marcelo unayemsema hapo ndiye huwa anaamua matokeo ya real takribani asilimia 50% ya matches zetu, NAOMBA TUSIZUNGUKE M'BUYU NA UKWELI NI KUWA TATIZO LA REAL NI FORWARD BUTU(Nieleweke hapa navyosema hivi sina maana kuwa bale, benzema na asensio hawafungi isipokuwa wanakosa Consisitency hivyo wanashindwa kudeliver when they're needed the most by the team na ndio wale wanaopata goal 1 kwenye chance 8). Na mpira ni mchezo wa makosa na hayazuhiliki ila yanaweza kupungua na ata kama kuna makosa hayo uliyosema dhidi ya ramos na marcelo vipi kama zile cross za kutosha alizoingiza marcelo zingezaa magoli ata mawili tu...JE TUNGEFIKA ATA EXTRA-TIME MKUU???, maana nikukumbushe ilikuwa full time:2-2, sasa kwamaana rahisi ungekuta mchezo umeisha goli 4-2 dakika 90 na simply tungekuwa mabingwa wa uefa-supercup 2018/19...UKITAKA KUAMINI HIKI NACHOKWAMBIA KUMBUKA FAINALI YA MWAKA HUU WORLD CUP-2018 Yule kipa wa ufaransa alifanya blunder kubwa na uzembe uliopelekea croatia kupata goal la pili kupitia mandzukich ila kwa kuwa timu yake ilikuwa tayari ipo mbele kwa goals 4 kwa 1 dhidi ya croatia that blunder haikuwa big deal na baada ya match kuisha KICHWA CHA HABARI MAGAZETINI HAKIKUWA BLUNDER YA LLORIS BALI "FRANCE CROWNED WORLD CHAMPIONS-2018"...Jifunze ata leo penalty aliyosababisha juanfran sio big deal kwa kuwa costa alisawazisha na wakaongeza goals 2 ahead hivyo kupelekea wao kutwaa ubingwa, Pia kumbuka kipindi tunatwaa ubingwa wa laliga msimu wa mwaka juzi tulitwaa tukiwa na record mbaya ya clean-sheet(du to defensive blunders) ila kwa kuwa forward yetu ilikuwa na makali hilo halikuwa tatizo hadi tukaweza kutwaa ule ubingwa...SO GOALS CLEAR WRONGS DURING THE PLAY!!!....na kengine nilichoona ni tatizo kwa huyu bwana. Lopetegui nikuwa hajui individual character za wachezaji wetu maana si kwa subs zile alizofanya na inakuwa ngumu kujua alikuwa ana dhumuni gani kwa kweli. Nachoona mie bila ya kusajili pale mbele ata kama ni forward mmoja tu labda world class No.9 tutakuwa na msimu mgumu sana wandugu maana tutajikuta tuna gombea nafasi nne za kucheza uefa mwakani hivihivi.
Mwaka wa kiangazi huuThe 3 defining mistakes today.
1) Ramos - Varane confusion with Diego Costa for opening goal
2) Marcelo missing at left-back position too frequently. Marcelo also played that ball in for Juanfran to create the 79’ Costa Equaliser.
3) Ramos pass to Varane in the box.
Absolutely unacceptable at this level by these world class players.

Niungane na pionaire hapo juu, kiongozi wa forward Madrid kaondoka ,lipo tatizo ku pretend hakuna tatizo ni kujidanganya, Bale anakimbia bila mipango, assensio maturity ndogo kabisa, hongera kwa Benzema ila ni maji kupwa maji kujaaa, team hii sioni ikimfunga Barça, Sevilla,atletico,valancia pasipo mabadiliko ya forward line, kwa Mara ya kwanza Kwa umri wangu Madrid itakosa top four,team ivunje akiba kwa Hazard na icard Irudishe Fear factor, sioni team zikiiogopa Madrid bila Ronaldo ila hofu itarudi Hazard na icard wakitua, Assensio hawezi kupewa jukumu zito narudia hawezi, muda utasema, team akitoka casemiro mabeki hawajui nini cha kufanya, nimeshangaa mdau mmoja kusema catalyuna watapigwa nje ndani. Perez kaona asipoingilia Kati yajayo yanafurahisha.
Niungane na pionaire hapo juu, kiongozi wa forward Madrid kaondoka ,lipo tatizo ku pretend hakuna tatizo ni kujidanganya, Bale anakimbia bila mipango, assensio maturity ndogo kabisa, hongera kwa Benzema ila ni maji kupwa maji kujaaa, team hii sioni ikimfunga Barça, Sevilla,atletico,valancia pasipo mabadiliko ya forward line, kwa Mara ya kwanza Kwa umri wangu Madrid itakosa top four,team ivunje akiba kwa Hazard na icard Irudishe Fear factor, sioni team zikiiogopa Madrid bila Ronaldo ila hofu itarudi Hazard na icard wakitua, Assensio hawezi kupewa jukumu zito narudia hawezi, muda utasema, team akitoka casemiro mabeki hawajui nini cha kufanya, nimeshangaa mdau mmoja kusema catalyuna watapigwa nje ndani. Perez kaona asipoingilia Kati yajayo yanafurahisha.