The big challenge ni kufanya kazi ambayo alikuwa anaifanya(kufunga magoli) especially in big momentAfadhali kaenda. No more drama in the squad. Kinachofuata ni mwendo wa rotation kwa squad nzima, hakuna mambo ya untouchable player anymore
Afadhali kaenda. No more drama in the squad. Kinachofuata ni mwendo wa rotation kwa squad nzima, hakuna mambo ya untouchable player anymore
Ipo siku mtaona umuhimu wake. Na lazima ataibuka player mwingine untouchable kuliko ronaldo(who knows)maana style ya usajili madrid haibadilikagi
The big challenge ni kufanya kazi ambayo alikuwa anaifanya(kufunga magoli) especially in big moment
CR7 akiwa kwenye performance mbovu(kama unavyosema) alikuwa na mchango mkubwa kwenye timu kuliko waliokuwa na performance nzuri kwa age yake usitegemee atakuwa anakimbia/kukaba kama yuko kwenye 20s kumbuka ana miaka 33 na kitu kizuri ni jinsi Zidane alivyoweza ku-mfanyia rotation ili awe fit muda mwingiReal Madrid kila mtu ni goal scorer. Misimu miwili ya mwisho jamaa alikuwa na performance mbovu sana. Mimi nafuatilia kila game ya Real, mara nyingi anapoteza possession kwasababu alikuwa anashindwa kwenda na flow ya wenzake
Hata Raul, Casillas, Figo na wengine tunakumbuka umuhimu wao. Sasa we sijui ulitakaje, aendelee kukaa pale wakati kashazeeka?Na ukiongea untouchable yule bwana ni zaidi, we mchezaji gani asiyekubali kufanyiwa sub hata kama game imemkataa?
CR7 akiwa kwenye performance mbovu(kama unavyosema) alikuwa na mchango mkubwa kwenye timu kuliko waliokuwa na performance nzuri kwa age yake usitegemee atakuwa anakimbia/kukaba kama yuko kwenye 20s kumbuka ana miaka 33 na kitu kizuri ni jinsi Zidane alivyoweza ku-mfanyia rotation ili awe fit muda mwingi
Sababu umejiweka kumchukia zaidi sidhan kama utaelewa hata tukiandikacho kuhusu CR7 all in all jamaa kaibeba sana madrid.

Dou you except 33 years old striker ambaye muda mwingi amecheza mpira miaka karibia 15 bila kupumzika afanye dribble kama kina Asensio,Isco,Mbape?Sio kukaba tu. Cristiano sasa hivi can't dribble past defenders, he's not flexible anymore. Akiwa na mpira magumashi tupu. Can't give a proper passes, ndio maana nakwambia alikuwa anaua sana moves. Huwa anapoteza mipira ghafla pale usipotegemea na mara nyingi imetucost.
Mimi nafuatilia game za Real bro. Najua wanavyocheza
Acha hizo bro. mpe jamaa heshima yake.Afadhali kaenda. No more drama in the squad. Kinachofuata ni mwendo wa rotation kwa squad nzima, hakuna mambo ya untouchable player anymore
Kwa kweli àmpe heshima yake. La Liga will never be the sameAcha hizo bro. mpe jamaa heshima yake.
Dou you except 33 years old striker ambaye muda mwingi amecheza mpira miaka karibia 15 bila kupumzika afanye dribble kama kina Asensio,Isco,Mbape?
Kwenye kufunga magoli CR7 is the best hakuna anayemzidi
CR7 agemates wake ni kina Zlatan,Rooney hakuna mchezaji wa age yake aliyemfikia