Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mbappe yupo vizuri sana anafaa kumrithi CR7
IMG_20180702_081445.jpg

Vyombo vya habari vinambeba huyo Neymar tu ni bora hata Mbappe kijana wa kazi
 
Neymar huyu mtoto anayelia lia ovyo uwanjani world cup ndo madrid wanamsaka kumziba CR7 aiseee hasara iliyoje
Neymar akiacha kulia lia ni mchezaji mzuri, sema akija pale anakuta wakongwe zaidi yake so hata tabia anaweza kubadilisha, ngoja tusubiri tuone Perez ata deal Vp na soko la uhamisho msimu huu...
 
Mkutano wa Mendes na Florentino Perez . Rais wa Real Madrid Florentino Perez, msaidizi wake Jose Angel Sanchez na wakala wa Cristiano Ronaldo, Jorge Mendes wameripotiwa kukutana usiku wa kuamkia leo kwa ajili ya kujadili hatma ya CR7 ndani ya Estadio Santiago Bernabeu. . Angel Sanchez alimpa Mendes masharti ya kuleta mezani ofa ya 100 million euros ili kupata baraka ya Los Blancos kumuuza Ronaldo na Mendes aliwahakikishia maboss hao wa Madrid kwamba ataileta ofa hiyo - kwasababu Juventus wana utayari wa kulipa fedha hiyo.
 
Tetesi

Real Madrid inamtaka mshambuliaji wake Cristiano Ronaldo kuwaambia mashabiki wa klabu hiyo kwamba hajalazimishwa kuondoka katika klabu hiyo iwapo mchezaji huyo wa Ureno ataelekea Juventus.. (Mail)

Manchester United inataka kumsaini upya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 lakini wameambiwa kwamba kumekuwa na mazungumzo mazuri kuhusu uhamisho wake kuelekea Juve. (Independent)
 
Back
Top Bottom