Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kila mmoja anapingana na point zako,utataja wachezaji mia ila CR7 atabaki the best. Huwezi mfananisha kaka na Ronaldo,Ronaldo ana kipaji cha pekee.
Simchukii Cristiano Ronaldo bali naipenda Real Madrid. Mimi ni honest, hata Casillas watu walipiga kelele lakini mimi nilisema he has to go kwasababu umri na hakuwa na flexibility tena. Cristiano anaweza kucheza vizuri, lakini sio Real Madrid tena, kwingine huko. Sababu ya Real Madrid kuwa juu siku zote ni kwamba wanataka mchezaji awe kwenye best performance yake with no excuse, ndio maana unaona hata Kaka aliondoka baada ya muda tu
 
Kila mmoja anapingana na point zako,utataja wachezaji mia ila CR7 atabaki the best. Huwezi mfananisha kaka na Ronaldo,Ronaldo ana kipaji cha pekee.

Alright. Unaruhusiwa kushabikia Juventus
 
acha kupanic bana. Nashabikia ninapopenda sio kufukuzwa na shabiki maandazi mwenzangu. Tulia tuwachambue mbappe na hazard hapa,watatufaa hawa hope hautawachukia mbeleni. France vs Belgium

Labda wewe ndio shabiki maandazi, mimi membership card holder bro. Halafu sio kupanic, kule Facebook nimeona fanboys wenzio wengi wanatangaza kuhama Real Madrid
 
Picha ya ushahidi wa hio card,am not bro mkuu angalia avatar,aisee kumbe upo fb hao watakua wenzio ndo maana wamekupanikisha umekuja kulialia humu pole pagan opsss i mean card holder.

Halafu card holder wetu wa madrid JF nzima hakuna kama wewe fanya basi ka mchakato ka kuiondoa hio EXPERT MEMBER kwenda PLATINUM, PREMIUM MEMBER. ni kaombi tu tajiri wetu

Uanachama sio utajiri mama, ni mapenzi tu, ndio maana nakwambia usiniite shabiki maandazi. Halafu usitumie neno panic, no reason to panic. Labda useme I'm annoyed. Cristiano anaondoka after next few years tutashudia Ramos, Marcelo na wengine wanaondoka ni kawaida tu. Lakini nyinyi mashabiki wa Ronaldo hamtaki kukubali. Kwani timu Real Madrid tu?
 
Huna uanachama mkuu,so shabiki mwenzetu tusipangiane timu kama hujapanic kwanini unakimbilia kutaka kunifukuza kushabikia madrid duh ungekua perez wewe tungekoma humu

Perez katia sokoni Ronaldo. End of the story.
 
Mshiko, Umri

Ronaldo bado anataka hela nyingi na njia pekee ni kuhama baada ya Juve kumpa 30 na Ferrari kutoa 20 kwa mwaka ni ngumu kwake kukataa hiyo ofa. Maana asingeipata Madrid
 
Sasa Rasmi hii Thread Itakufa, maana kumbikumbi nyingi za Man U zita hama kutoka Madrid na kutua Juve

Waanzishie Juventus Special Thread Mkuu, after all they deserve it. They are one of the biggest Club in Europe
 
Kila mmoja anapingana na point zako,utataja wachezaji mia ila CR7 atabaki the best. Huwezi mfananisha kaka na Ronaldo,Ronaldo ana kipaji cha pekee.
Kumshabikia CR7 sio dhambi, kama wewe ulikuwa shabiki Ronaldo na si shabiki RM unaruhusiwa kwennda naye Juve. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Kumbuka ipo siku CR7 ataretire pia kama wachezaji wenzie waliomtangulia waliomtangulia.
 
Mkuu umemaliza kila kitu.
 
Naona nawe waleta mipasho Yes namshabikia ronaldo so sioni ubaya kuishabikia madrid pia. (Mmh isije kua najibu fekero ya Pagan hapa hahahaha watu bana)
Kumshabikia CR7 sio dhambi, kama wewe ulikuwa shabiki Ronaldo na si shabiki RM unaruhusiwa kwennda naye Juve. Hakuna marefu yasiyo na ncha. Kumbuka ipo siku CR7 ataretire pia kama wachezaji wenzie waliomtangulia waliomtangulia.
 
Poa basi mkuu usilie na kuangusha historia za enzi za mwalimu nipo kila uzi wa sports na wala sitakimbia timu yoyote kama mtakavyo. Napenda mpira mzuri so vumilia tu comments zangu. Am here to stay. All in all lets apreciate CR7 efforts and achievements alizoleta madrid.
Mimi sio member tu, bali pia nimeishi Chamartin for 10 years sababu ni Real Madrid. Mbona hivi vitu vingine vidogo tu Bi Mkubwa!
 
Back
Top Bottom