- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,088
- 10,552
Weekend ijayo hapo![]()
![]()
![]()
yan nyie ndowepesi kabisaaa iwapo tutakutana na nyie hatutarajii kuwepo dk za nyongeza ni mapema tunamaliza mchezo.
Weekend ijayo hapo![]()
![]()
![]()
yan nyie ndowepesi kabisaaa iwapo tutakutana na nyie hatutarajii kuwepo dk za nyongeza ni mapema tunamaliza mchezo.
Cry me a riverGalacticos, muda mnaotumia kuipiga kelele humu mngeutumia kumshukuru refaree kwa mara nyingine!
Nothing new here, just another robbery in Santiago bernabeu.
Saddly, hadi Marcelo ka admit it was a penalty.
View attachment 763345
You guyz only won against PSG, the refs won the other matches for you!
Wivu, kila wakipambana wao kwa wao mwisho wanamkuta Real, hapa lazima wamaindi.Tumeshawazoea kwa kelele zao View attachment 763368
Mkuu, mara ya tatu mfululizo lazima watu waumie, why Madrid?? Why Madrid?? Na bado, wataongea sana!Kuna comments humu zinaonyesha watu walivyo na maumivu makali. Jana wamelala wanaloanisha Mito kwa machozi. Mwaka wa tatu mfululizo mnabadili tu sababu. Sikuona msimu uliopita mkizungimzia goli mbili za Bayern ambazo zilikua magumashi and still we knocked them out.
Tumieni Panado,ni nzuri kwa kutuliza maumivu.
Salah aliwekwa mfukoni na winga aliyecheza kama beki, Ashley Young!Mnpenda kitonga sio? Fainali lazima mkutane na Salah!
![]()
![]()
![]()
![]()
Why madrid?? Why Madrid?? Mara ya tatu mfululizo?? Haiwezekani.Ni kweli tuna wivu, na sisi tunatamani kupata hayo mahaba ya refaree kama mnavyopendelewa nyie!
paipu waliyonyukwa baca?Leo Galacticos mtanyukwa Paipu na Bavarians
tulia iingie taratiibu. tehYameshajitoa yenyewe yame baha.
that's my numbywoyooo
Atacheza Mkuu, Siku hiz card mbili za njano hazimzuii mchezaji kwenda kukipiga final., kama ilikuwa ni kwenye round nyingine za mwanzo huko angekosa mchezo, ndio maana hukona wakiandika kuwa atakosa game inayofuata. So msiwe na shaka Kijana atakuwepo.Jamani casemiro atacheza fainal maana alipewa yellow
Mkuu Hiyo kitu UEFA walishaitoa tokea ile incidence ya Xabi Alonso., siku hiz hizo kadi za njano mwisho wake unaishia semi final., japokuwa kama mchezaji alipata kadi mbili za njano, na ikatokea team yake ikatolewa basi atatukimia hiyo adhabu msimu unaofuata..,Casmiro Fainaly atakuwa jukwaani mkuu
Liverpool watapata tabu sana, nasema watapata tabu sana! kipigo chake kitakuwa ni cha mbwa koko!Confirmed: It's Liverpool VS R.Madrid.
Salah aliwekwa mfukoni na winga aliyecheza kama beki, Ashley Young!
Jumla ya goli anazo pigwa Roma katika mechi mbili ndo atakazo pigwa Madrid usiku ule !!!Liverpool watapata tabu sana, nasema watapata tabu sana! kipigo chake kitakuwa ni cha mbwa koko!

Liver hafiki final labda umeme ukatike
Litimu lenu linabebwa kila match ni mbeleko tuLiverpool watapata tabu sana, nasema watapata tabu sana! kipigo chake kitakuwa ni cha mbwa koko!
Egypt makundi itavuka??Kama Ni World Cup Ndiyo Kabisa Mmorocco hana Chake Coz Ureno Haiwezi Vuuka Hata Robo Fainali.
Fainali, dua zitagamikiwa!Naonda Dua Zenu Hazikufanikiwa! Mulifikiri Kinachomshinda Barcelona Hakuna Mwengine Wa Kukiweza?