Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,566
Tuwaongeze jingine ili tuwe safe zaidi, vinginevyo............et
Modric anatumika sana, ninadhan Zidane anataka kumwingiza Nacho ili ampunguzie majukum.., jamaa anajua sana kwa kweli!!Naona modric anapiga double work
Team inabaki nyuma sana ndio maana kidogo tunapoteza mipira mingi, Modric akirudi pale kati flow ya game itakuwa ni hatari.Sipendi tunavyopoteza possession kwenye third part. Lakini we'll beat them kwasababu wana papara ya kushambulia kitu kinachowafanya wafunguke sana
Naina Bayern ikielekea Kiev kwa utulivu kabisa....ikiwaacha Madrid wakijilaumu kwann CR7 hajafunga na kuwabeba tenaa mgongoni!Nawapenda Bayern Munich kwa sababu wanajua kutengeneza nafasi nyingi za kufunga actually sana uwezo wa kushinda hii game. Let's checks second half
Naina Bayern ikielekea Kiev kwa utulivu kabisa....ikiwaacha Madrid wakijilaumu kwann CR7 hajafunga na kuwabeba tenaa mgongoni!
Ahahaha.... Team Barca tunaumia sana kwa haya matokeo yanayoendelea kwa kweeliGoal lapili bado una amini Bayern atatoboa akiongeza sisi tu naweka msikariri HaLa Madrid
Hii game bado mbiiichi sana....Madrid nao beki hawana kabisaaaahGoal lapili bado una amini Bayern atatoboa akiongeza sisi tu naweka msikariri HaLa Madrid