Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,575
- 12,368
Casemiro bench kwa sababu alipata njano, ataanza fainali.
Kovacic ni mzuri kwenye attack.
Kovacic ni mzuri kwenye attack.
App gan inayoonesha mpira with minimum bandoCasemiro bench kwa sababu alipata njano, ataanza fainali.
Kovacic ni mzuri kwenye attack.
App gan inayoonesha mpira with minimum bando
Hehehehe!!! Lini hiyo ilikuwa??R Madrid 1-4 Bayern M
Red card Kovacic
You just waitHehehehe!!! Lini hiyo ilikuwa??
Ninadhan Zizou ameona ni risk kumwanzisha Nacho kwa kuwa ametoka majeruhi, na kulingana na ugumu wa game yenyew anaweza akaumia tena, ni afadhali aanze na Vasquez, akiona mambo hayaendi sawa, basi Nacho atakipiga kipnd cha piliHaya majeruhi yanaweza kutu cost hasa pengo la carvjal

Naona mmesusia uzi![]()
![]()