PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,264
- 22,146
wazee wa mbeleko,bila ma refreee madrid hamna kitu
Maumivu yakizidi nenda kamuone Daktari .
wazee wa mbeleko,bila ma refreee madrid hamna kitu

labda ni wivu aisee.Tumsubiri Roma sasa![]()
![]()
![]()
Kateni rufaawazee wa mbeleko,bila ma refreee madrid hamna kitu
hili suala Cristiano Ronaldo kutokufunga mechi 2 zote za nusu fainali si habari njema kwa timu itakayoingia Fainal na Madrid!!huyu mnyama ataibukia huko akijua ndio nafasi yake ya mwisho kumfunika Messi forever kwa ballon d'or
mta hangaika Sana lkn Baron d'or inapajua kwao tuliza mzuka1) Messi Tayari ana Makombe 2
2) Messi Ana Kiatu Cha Ufungaji Bora Spain
3) Anaongoza Kwenye Mbio Za Kubeba Kiatu cha Ufungaji Bora Katika Ligi Zote Barani Ulaya.
Sasa Sijui BALLON D'OR gani Hiyo atakayobeba Mmorocco?
MESSI NDIYE MSHINDI WA BDO MWAKA HUU
Siyo MO Salah? so Salah is a piece of garbage?1) Messi Tayari ana Makombe 2
2) Messi Ana Kiatu Cha Ufungaji Bora Spain
3) Anaongoza Kwenye Mbio Za Kubeba Kiatu cha Ufungaji Bora Katika Ligi Zote Barani Ulaya.
Sasa Sijui BALLON D'OR gani Hiyo atakayobeba Mmorocco?
MESSI NDIYE MSHINDI WA BDO MWAKA HUU
Yaani daima Madrid itazidi kuwalaza watu na viatu.. hakauna bahati ya kuingia fainali tatu mfululizo tena ukiwa unawatoa wanaoonekana ni giants. Hakuna timu ingeweza kupenya hapo.Baada ya kuangalia wachambuzi wa soka wa ulaya leo kwa lugha ya kiinglish, real madrid wanapondwa kwa kwenda fainali kwa mara ya 3 mfululizolabda ni wivu aisee.
PSG 5-2 wanasema bahati
Juventus 4-3 wanasema bahati
Bayern 4-3 wanasema bahati
Bayern wana majeruhi 5, sawa madrid 2.
Mwingine anasema Ronaldo ameisha.
Mwingine anasema ameshaandika jina la Liverpool kwenye kombe tiari yaani hata game ya AS Roma haijaisha.
Nadhani Zidane anawasikia
Critics make us stronger.
Na ni top goal score ucl kule..hahaha mtahama timu za kushabikia mpaka milembe kutawahusu paka shume nyie.1) Messi Tayari ana Makombe 2
2) Messi Ana Kiatu Cha Ufungaji Bora Spain
3) Anaongoza Kwenye Mbio Za Kubeba Kiatu cha Ufungaji Bora Katika Ligi Zote Barani Ulaya.
Sasa Sijui BALLON D'OR gani Hiyo atakayobeba Mmorocco?
MESSI NDIYE MSHINDI WA BDO MWAKA HUU
Mkuu, kuiponda Real ni wivu. HAMNA timu inayostahili kuchukua ndoo kama REAL ukiangalia timu walizokutana nazo. Ni kweli timu zote zinazoingia champions league ni ngumu ila FAVORITES karibu wote wametolewa na REAL. Uingereza wana wivu kwa nini ni MADRID kwa mara ya tatu tena fainali?? Why madrid?? Huu ni wivu unawatafuna. Wanashindwa kukubaliana na hili. Ni ni english pundits/ au wachwzaji wa zamani waliopitia EPL ndio wamaokereka sana!Baada ya kuangalia wachambuzi wa soka wa ulaya leo kwa lugha ya kiinglish, real madrid wanapondwa kwa kwenda fainali kwa mara ya 3 mfululizolabda ni wivu aisee.
PSG 5-2 wanasema bahati
Juventus 4-3 wanasema bahati
Bayern 4-3 wanasema bahati
Bayern wana majeruhi 5, sawa madrid 2.
Mwingine anasema Ronaldo ameisha.
Mwingine anasema ameshaandika jina la Liverpool kwenye kombe tiari yaani hata game ya AS Roma haijaisha.
Nadhani Zidane anawasikia
Critics make us stronger.
Omba Mungu leo Roma wasifanye yao, kama mkipita leo, JIANDAE KUMCHUKIA RONALDO ZAIDI.1) Messi Tayari ana Makombe 2
2) Messi Ana Kiatu Cha Ufungaji Bora Spain
3) Anaongoza Kwenye Mbio Za Kubeba Kiatu cha Ufungaji Bora Katika Ligi Zote Barani Ulaya.
Sasa Sijui BALLON D'OR gani Hiyo atakayobeba Mmorocco?
MESSI NDIYE MSHINDI WA BDO MWAKA HUU
Roma iliyopigwa na MFALME MESSI, candidate ma front runner wa ballon d'or 4-1 kisha wakapindua matokeo 3-0, ndio Roma hiyo.Which Roma anyway? Huyu aliyetandikwa goli 5?
Roma iliyopigwa na MFALME MESSI, candidate ma front runner wa ballon d'or 4-1 kisha wakapindua matokeo 3-0, ndio Roma hiyo.Which Roma anyway? Huyu aliyetandikwa goli 5?
Mchezaji bora atatoka World Cup1) Messi Tayari ana Makombe 2