Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,791
Ni pressure haswa mkuuSikumbuki lini nilikuwa na presha juu kama hii,na hapa robben ameumia,Vidal ameumia
Robben, Vidal na Boateng wangekuwepo sijui ingekuaje.
Ni pressure haswa mkuuSikumbuki lini nilikuwa na presha juu kama hii,na hapa robben ameumia,Vidal ameumia
ukipendwa pendekaUkipata demu anaekupenda kama marefa wanavyoipenda madrid usimwache
soka ni mchezo wa hatari sana kwa afya

Ataimiss Fainaly mkuu...Naona Casemiro kapata yellow na nilisikia sehemu kuwa alikuwa na yellow game iliyopita kule Munich
Casmiro Fainaly atakuwa jukwaani mkuuEbwana hakuna mchezaji wa Real anakosekana final kwa 7bu ya kadi?

Ahsante sn Maalim! Dah nilimtegemea Casemiro azunguke na Mwarabu finalCasmiro Fainaly atakuwa jukwaani mkuu
kila mtu anajua mliowatoa kihalali ni PDG tu kwa juve na buyern mumebebwa!Madrid kawatoa mabingwa wa Ufaransa,mabingwa wa Italia na mabingwa wa Ujerumani!timu zote mabingwa katika nchi zao zimeshatoka!!!!!.......and still its going to be Champions League Final
umauti upi mkuu wa kubebwa! hapo mlio myoa kihalali ni PSG tuMadrid imepita katika bonde la uvuli wa mauti kufika final. PSG-Juve-Bayern
iHala Madrid
We stripper usije kwa wanaume wa shoka huku kulialia na viuno vyako hivyo.wazee wa mbeleko,bila ma refreee madrid hamna kitu