Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid deserved to win no doubt about that.
  • 18 shots over 11 of Juve,
  • over 60% possession,
  • RM has 7 corners against 3 for Juve.
  • Juve committed over 20 fouls against 8 for RM,
  • Juve has 6 yellow cards against 3 for RM.
  • The penalty was genuine as Mehdi Benatia (Juve defender) pushed Lucas Vazquez (RM attacker) while preparing to score, this is a total stupid foul which will not be tolerated by any international level referee.
 
Bayern vs R.Madrid
Liverpool vs Roma

Kwa nn wametunyima kutuletea hao Majike ya jiji.? tuwaburuze

Daah ila poa cc ni Mabingwa tu
 
Bayern vs R.Madrid
Liverpool vs Roma

Kwa nn wametunyima kutuletea hao Majike ya jiji.? tuwaburuze

Daah ila poa cc ni Mabingwa tu
 
Katika hatua za mtoano kama hizi au fainal huwa ninaamini mechi zinakuwa ngumu kama tukicheza na timu ambayo tunatoka nayo spain...ila vilabu vingine sina wasiwas kabisa...Bayern akiwa moto alikula goli nyingi sana Home and away...awamu hii tena kipigo kinajirudia...sion timu yakuinyima ubingwa Madrid hapa.
 
Second leg na Juventus ni woke up call kwa Real Madrid. Nothing like that will happen again
 
Uefa ya mwaka huu sio mchezo
PSG bingwa France
JUVENTUS bingwa Italy
BAYERN MUNICH bingwa Germany
REAL akichukua na hii itakuwa balaaa
 
Hahahaha
2cf4bfcf-4e2e-4787-a3df-131c5344db31.jpg
 
Katika hatua za mtoano kama hizi au fainal huwa ninaamini mechi zinakuwa ngumu kama tukicheza na timu ambayo tunatoka nayo spain...ila vilabu vingine sina wasiwas kabisa...Bayern akiwa moto alikula goli nyingi sana Home and away...awamu hii tena kipigo kinajirudia...sion timu yakuinyima ubingwa Madrid hapa.
Usiseme hivyo mambo yanabadika
Ndugu
 
Second leg na Juventus ni woke up call kwa Real Madrid. Nothing like that will happen again
Kabisa Mkuu, ile situation ilitokeailitujifunze kitu., Zizou atalifanyia kazi..,
Droo ni nzuri, sio mbaya ukikutana na team ngum kama anataka kuwa bingwa., tutapigana kama tunavyofanyaga siku zote., Bayern wametupania sana haswa Vidal, ila tutatuliza kichwa tucheze mpira yeye akamie game ale tena Umeme apate kisingizio
 
Good News ni kwamba Ramos atacheza Semi final., UEFA wameona hakuvunja sheria, so hatopewa adhabu kama ilivyokuwa inadhaniwa awali.,
 
Good News ni kwamba Ramos atacheza Semi final., UEFA wameona hakuvunja sheria, so hatopewa adhabu kama ilivyokuwa inadhaniwa awali.,

UEFA sio la liga, maana wale watu wa Spain wanatafuta sababu tu wamfungie mchezaji . Kila siku mashauri
 
UEFA sio la liga, maana wale watu wa Spain wanatafuta sababu tu wamfungie mchezaji . Kila siku mashauri
Hahaha., ninadhan watakuwa wameumia sana walivyosikia hiyo habari, nilidhan ingeendeleza tena ile drama ya juzi kuwa tunapendelewa, sababu wapinzani wetu baada ya ile game kuisha walishikia bango hilo suala la Ramos.
 
ofcource mupo semis. yakawaida tu hayo yshakua. hata mwaka jana mlipita kwa mazingara hayohayo
Hahaha.., Ninaona kilio kimekuwa kikubwa sana man, anyway tutatolewa siku moja na wew upate japo furaha, haipendezi kila siku sie tu.., Bayern wamefurahia hii draw angalau na wao walipe kisasi..,
 
Back
Top Bottom