Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hawa wahuni wameamua kutumia cross, inabidi Varane amcover Carvajal, Casemiro amcover Vallejo vinginevyo leo zinapita na chopper tu 0-2 HT
Na bila Ramos Madrid hawawezi kulinda cross wala kufunga mipira ya corner. Hapa nimeminya makende hata hii HT.
 
Wiki ya kupindua matokeo. Ilianza kwa Man united vs man city. Ikafuatia ile ya As Roma vs Barcelona. Je, leo zamu ya Madrid?
 
Nakumbuka hata maajabu ya Jana yalianza hivi hivi, mpaka tunaenda mapunziko as roma walikuwa wanahitaji goli mbili tu.

Na Leo tena tumeenda mapunziko juve akiwa anahitaji goli mbili tu apite.

Kuweni makini narudia tena kuweni makini.
 
Kipindi cha pili Madrid anapiga 1
Mpira unaisha kwa difference ya goli 1
 
REAL wameamua kutuliza Mpira chini.

Ni mwendo wa Gonga sasa
 
Back
Top Bottom