radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Cha ajabu njemba mbili zimezidiwa na mdada kujibizana na mdada ni sawa na kupiga tikitaka mbele ya mama mkwe ukiwa umevaa msuliAkamuhudumie nani wakati wanaume tupo huku kwenye mpira?
Acha atufate huku huku.
Yani mkifungwa mnatukana kila mtu ***** zenu. Jana mmetukana sana tulikua tunawasubiri!
Acha juve awashike makalio kimya kimya!