Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hawa wahuni wameamua kutumia cross, inabidi Varane amcover Carvajal, Casemiro amcover Vallejo vinginevyo leo zinapita na chopper tu 0-2 HT
 
Juventus wanakaba timu nzima. Hii ngoma ngumu , anahitajika Vazquez na Asensio wabadilishe game. Namuona Bale anakwenda bench.
 
Msimu huu, kipindi cha pili game yetu inapungua kasi halafu tushalambwa mbili na namuona Carvajal anakula Red anytime. Zidane anatakiwa atumie maneno ya maana huko ndani. Bernabéu yote inasapoti
 
Dogo aliyechukua zamu ya El captain simlaumu, ila Bale hakuna kitu so far.. na goli la pili ni jepesi sana kufungwa kwa kipa kama Navas.. hili goli ni uzembe wake
 
Back
Top Bottom