Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hizi timu ndogondogo mnazionea sana. ngoja nikaendelee na mambo yangu.
 
9' GOOOOOOOOOAL by Benzema!!! Real Madrid 1-0 Malaga [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]

DPfRwi-W0AAFFIB.jpg
 
Pambana na hali yako ni nn?
Kwa akili yako hilo ndio jibu?haya kama ndio timu yako inaitwa pambana na hali yako niambie ipo ligi ya nchi gani?daraja la ngap?na majina ya wachezaji wake pamoja na technical bench
 
Back
Top Bottom