Hivi tutakutana na mshindi wa kwanza wa kundi gani?
Kama timu imejirekebisha hivi forward line basi kuna jambo la kujivunia.Sevilla vs Liverpool
Itachezeshwa draw, atakayekuja mbele halali yetu.
Toka bwege wewe.
Pumbavu ngoja la ligaMpwa siku nyingine achana na watoto wa dizaini iyo wanakomaa kupata attention tu,wamemaliza mitihani ya kidato cha 4 basi ni vurumai tu yaani umu ka-quote kila mtu

Halafu wewe shoga unawashwa na nyege zimekujaa sana dhidi ya Real Madrid.!Timu hodari za kuchana mikeka
Man u,Liverpool na real Madrid
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Haito kaa itokeeTetesi
MADRID KUMSAJILI ALEXIS KWA €30M
Real Madrid wapo tayari kutoa kitita cha €30 milioni kukamilisha dili la uhamisho wa mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez Januari, kwa mujibu wa Don Balon .
Wanaowania la liga this seasonHalafu wewe shoga unawashwa na nyege zimekujaa sana dhidi ya Real Madrid.!

Yaani Zizou na Benzema ni hatari sana.. Wale vijana wana uchu wa mafanikio ni bora waanze kwa dkk 60 au 70.RealMadrid XI for Malaga : Casilla; Carvajal, Vallejo, Varane, Marcelo; Isco, Casemiro, Kroos, Lucas V; Ronaldo, Benzema.