McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Hawa jamaa wana moyo, wamepigwa 6 lakini bado wanaimba tu.
Wenzetu mashabiki ni wachezaji wa 12 wanapambana na wale 11 mpaka mpira uishe.
Hawa jamaa wana moyo, wamepigwa 6 lakini bado wanaimba tu.
Mtaa wa pili wamepotelea wapi
La liga,uefa au mashindano yakoWe pimbi, last time tulivyokutana tumewapiga nje ndani. Wakatalani timu yetu vilevile
Wenzetu mashabiki ni wachezaji wa 12 wanapambana na wale 11 mpaka mpira uishe.
Siongei na niliyemwacha pointi za no ya messiCR7 ana goli 18 mwaka huu kwenye UCL unadhani mtaa wa pili wana nguvu tena?
Siongei na niliyemwacha pointi za no ya messi
La liga,uefa au mashindano yako
Mbona povuChief naona unaniingiza mbu tu unaongea vitu tofauti ukiona watu wamekukaushia basi jiongeze.
Ndo mnajivunia kile kikombe cha hisani cjui cha mbuzi ngoja tutachukua baadhi ya magoli ya Ronaldo uefa tuyaweke kwenye ligi coz dah hilo gepu c la nchi hiiWe bwege hujui mpira, nenda kule kwenye jukwaa la udaku.
Cristiano Ronaldo is now the first man to score 18 goals in one CL calendar season beating his 17 goals he set 15 minutes earlier. The record before that was 16 goals, held by Cristiano Ronaldo. Record before that was 15, also held by Cristiano Ronaldo. Man is a machine. [Via: @XavsFutbol]
watu kama hawa ni wakupuuza tuu mkuu utajisumbua kujibizana nao bure tu....Toka bwege wewe.