Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ile Madrid iliyocheza leo haikuwa tofauti na Aston Vilaa sio kwa kupigwa huko
Sikuangalia mpira lakini hizi player ratings za Eurosport upande wa Madrid kama ni true reflection of what transpired in the pitch, then Zizou has to bring in some changes kama substitution za kina asensio alizozifanya late. Otherwise watakuwa na wakati mgumu kote kote ingawa si sahihi ku write them off completely

60f81ce27990c4ab28039f5b36402025.jpg
 
Hakuna haja ya kupanic kwasasa kisa tumefungwa na Spurs, Bado safari ni ndefu sana, tumekuwa na bahati mbaya tu kwasasa, ni kwamba hayaendi kama tunavyotaka tu. Tutarudi tena.
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Sio bahati mbaya,Real Madrid wanacheza mpira mbovu kwa sasa
 
Vijana wale wapewe nafasi zaidi kwa kuwa wana njaa ya mafanikio tofauti hawa walioshinda karibu kila kitu.
 
Naacha rasmi kushabika Madrid maana haina jipya imejaa wachezaji mashoga
 
  • Thanks
Reactions: PNC
sijawahi kuwa muumini wa timu kununua majina...... wachezaji wengi ghali huwa hawafanyi kitu uwanjani... wachache sana yaani 1percent ndio hufanya vitu...

usajili mwingi wa madrid ule wa pesa kbwa haujawahi isaidia real... kiufupi huwa wanapata hasara ni Ronaldo CR7 tu ndio wamefanya zaidi ya kile walichonunuliwa (thamani)...
kina Bale, james, kaka... na wengine hawajawahi fanya kitu ndani ya moyo walio wanunua huumia ila ndio hakuna wanachoweza fanya...

tunafungwaje na timu kama girona na tott ambao usajili wao si mkubwa kivile?
ni wakati sasa tuanze nunua wachezaji wanao jielewa kwa bei inayoeleweka.... tofauti na hapooo tutumie academy yetu.. bora tufungwe huku tumechezesha academy players kuliko hao kina ronaldo, bale,benzema,kroos, mody,ramos,marcelo,casee etc
 
Unapiga bajeti Mkuu, kama timu yako kweli na Perez unamjua jua vile, hongera
 
Yaani leo unaorodhesha wachezaji walewale waliotupa vikombe miaka miwili mfululizo kuwa hawafai? Hapo ni kubadili mbinu ya uwanjani pamoja na kuleta kipa ya maana na striker mmoja wa ukweli.
 
Naona walinzi wa mfalme tumewachokonoa vidole vitatu na kuwakojoza kimoja.
Poleni ndiyo mpira huo
Mlikuja Wembley siyo wonder metropolitano

Shenzi
 
Naona Dunia inafuraha leo kipofu kaona mwezi. Tumeshinda kila kitu tena kwa consistency ya juu. Fans wenzangu tusikate tamaa tuwe pamoja kwenye faraja na dhiki.
 
Back
Top Bottom