Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Yaani leo unaorodhesha wachezaji walewale waliotupa vikombe miaka miwili mfululizo kuwa hawafai? Hapo ni kubadili mbinu ya uwanjani pamoja na kuleta kipa ya maana na striker mmoja wa ukweli.
Ndio maana nilisisitiza kuanzia mwanzo kuwa hakuna haja ya kupanic kisa tumefungwa, mbona sio mara ya kwanza kufungwa? Vijana wetu wanapitia wakat wa mpito tu na ninaamin watarudi tu soon,
Kila nikisoma comment zao ninaona kabisa dhamira waliyonayo, ni professional wale watajipanga na kuweka mikakati sawia., usishangae kikosi hiki hiki wanacho waita wazee wakafanya tena maajabu., #HalaMadrid¡¡¡
 
Naona Dunia inafuraha leo kipofu kaona mwezi. Tumeshinda kila kitu tena kwa consistency ya juu. Fans wenzangu tusikate tamaa tuwe pamoja kwenye faraja na dhiki.
Hiyo inaitwa hatimaye...., yaani kuna watu wametuombea mabaya kuanzia msimu uliopita mpaka Hapo juzi ndio wameshusha pumzi., ukijumlisha tena na press za kwa Malkia basi inakuwa shida kweli kweli!? Tutawanyamazisha tena.
 
kweli kabisa neema inakuja,hiki ni kipindi cha mpito
 
Madrid's way of playing was absolutely awful & miserable , it was so disgusting to watch World's top classic players playing like 6 years old boys learning how to kick the ball .

Defencive & mildefield sections had ultra poor performance that I have never seen in recent 3 UCL seasons
 
Goli lipi mkuu..tukumbushe km hutojali..
Karma is bitch
79248efcbb8eceb1424ebe40800f727a.jpg
 
Naona Dunia inafuraha leo kipofu kaona mwezi. Tumeshinda kila kitu tena kwa consistency ya juu. Fans wenzangu tusikate tamaa tuwe pamoja kwenye faraja na dhiki.
Kikosi limechoka hilo mazee yamejazana subirin vipigo vingine zaidi
 
Tupo kwenye kipindi kigum sana,lkn hatupaswi kuamini kuwa ndio mwisho wetu
Sahihi kabisa bandiko lako kikosi sio kibovu kama wanavyotaka kuaminisha watu damu changa zipo zizzou achange karata uzuri tutarudi penye nafasi yetu
 
Hahahahahahahahahahhahhahha Real Madrid mmepigwa kipigo cha mbwa mwizi hahahhahhahahaha sasa ao Tottenham tu, Je mkikutana na mziki wa Barcelona hii ya kina mafundi Messi, Paulinho, Dembele nae anarudi au PSG ya kina Neymar si mtakimbia mji? Na bado nawasubiri El Classico kipigo ntachowapa hamtakisahau maishani mwenu.
 
Back
Top Bottom