Karibia vijana wetu wote viwango vyao vimeshuka, bado sijaelewa tatizo ni nin, tunajikuta tunacheza vizur sana kwenye kiungo ila kusogea kwenda lango la wapinzani ndio shida inaanzia hapo, kuna muda Isco ambaye ndio anategemewa kutoa pass za mwisho kwa foward wetu, unamkuta yupo chini kabisa, Kwa upande wangu hapo ndio ninaona tatizo linaanzia, hatuna mtu wa aina ya James ama Ozil kufanya hiyo kazi, ndio maana muda mwingi tunapitia pembeni huku na kwnyew bado msimu huu pamepoa sana, so tuendelee kukaza hivyo hivyo na hawa vijana wetu labda Zizou anapata jibu plus Kova na Dani wakirudi mambo yanaweza kubadilika.