PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,247
- 22,126
Hahahahahahahahahahhahhahha Real Madrid mmepigwa kipigo cha mbwa mwizi hahahhahhahahaha sasa ao Tottenham tu, Je mkikutana na mziki wa Barcelona hii ya kina mafundi Messi, Paulinho, Dembele nae anarudi au PSG ya kina Neymar si mtakimbia mji? Na bado nawasubiri El Classico kipigo ntachowapa hamtakisahau maishani mwenu.
Timu hii hii ndio ilikupiga nje ndani only one month ago. Kama huijui El Classico chukua kopo ukachambe.