nguluviyihuvye
Senior Member
- Oct 13, 2011
- 173
- 213
Kushinda raha sahivi siwasikii mkimlalamikia Ivan Rakitic hahahaha sahivi anaonekana mtu.....My favorite players lis blancos ni Balle,Benzema ,Vasquez na Danillo ila mmemkimbiza
Kushinda raha sahivi siwasikii mkimlalamikia Ivan Rakitic hahahaha sahivi anaonekana mtu.....My favorite players lis blancos ni Balle,Benzema ,Vasquez na Danillo ila mmemkimbiza
My favorite players lis blancos ni Balle,Benzema ,Vasquez na Danillo ila mmemkimbiza
Kwani ni uongo Mkuu, si pale Anoeta kila msimu huwa ni pachungu Kwenu!? na safari hii mtalia tena!!Vibonde ambao hawana sare yeyote wala loose yeyote mpakaa sasaa
msimu huu ni ngumuu sanaa sisi kuliaa tuko on fireKwani ni uongo Mkuu, si pale Anoeta kila msimu huwa ni pachungu Kwenu!? na safari hii mtalia tena!!
Captain akili yake anaijua mwenyewe.Ramos pana waqt anaweza kufanya jambo zuri kama lile goli là kwanza alivyo mminya yule baki kisha dogo akakwamisha lakini waqt mwingine akili yake anaijua mwenyewe
Captain akili yake anaijua mwenyewe.
Jana mara ya pili mpira unamkuta kwenye box la wapinzani kama yeye ndiyo striker na alitaka apige overhead kick ikakataa Borja akaipitia.
Mbaka wachambuzi wanamshangaa mpira ulishaondolewa na wapinzani yeye kama beki alitakiwa kuwa ameshatoka kwenye box la wapinzani ila ndiyo hivyo anatubeba na bangi zake.
HALLA MADRID!!!!

Kwa kweli tunaenda nae hivyo hivyo ana mazuri mengi ila anajijua mwenyeweCaptain akili yake anaijua mwenyewe.
Jana mara ya pili mpira unamkuta kwenye box la wapinzani kama yeye ndiyo striker na alitaka apige overhead kick ikakataa Borja akaipitia.
Mbaka wachambuzi wanamshangaa mpira ulishaondolewa na wapinzani yeye kama beki alitakiwa kuwa ameshatoka kwenye box la wapinzani ila ndiyo hivyo anatubeba na bangi zake.
HALLA MADRID!!!!
msimu huu ni ngumuu sanaa sisi kuliaa tuko on fire
Nyie mmepoteza Point 4 kwa vitmu vya aina ganiOn fire gani, juzi tu na Getafe mmepata kwikwi. Mmechukua point 3 huku viroho vinawadunda dakika 90. Game kama ile Anoeta hamtoki.
Nyie mmepoteza Point 4 kwa vitmu vya aina gani
Actualy it was tough Game but still we won....winners are nat judged!I don't know what are you arguing! Umesema mpo on fire ndio maana nimekukumbusha kwikwi ya juzi na Getafe. Au unabisha tu hujui unabisha nini?