Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

We can't afford to drop more points. Na hili ndilo litaifanya squad hii hii kuonekana moto, Anoeta wataisoma leo
Nitafarijika sana mkipoteza tena point leo, weekend yangu itakuwa imeisha vizuri sana
 
Kwenye kipindi kama hiki, hata Real Madrid wakiwa na tofauti ya 20 points na league leader utafarijika weekend yako. Lakini competition is there, till mathematically impossible. That's Real Madrid
Wewe huijui laliga vizuri, ikitokea leo mkapoteza point zote tatu, sahauni ubingwa , mtakuwa mnazipunguza points then zinarudi,tena zinaweza kuzidi.

Laliga ukishapoteza point kizembe inakula kwako moja kwa moja iwe ni mwanzo wa msimu au mwisho. Barca walipoteza point tatu mechi ya pili kama sikosei na alaves msimu uliopita, iliwatesa msimu mzima na hatimaye kupoteza ubingwa pamoja ingawa katika mechi za el clasico walidrop point mbili tu
 
Usipende kukariri. ligi bado ndefu sana. Msimu aliotimuliwa Carlo, tuliingia January na points 7 dhidi ya mshindi wa pili na hatukuchukua ubingwa. Msimu wa kwanza wa Zidane, mpaka tunaenda Camp Nou wenyeji walikuwa na points zaidi ya 6, ila ligi iliisha kwa tofauti ya point moja. Msimu ulioisha tulitoka Camp Nou na ziada ya points 4, ila tulisubiri hadi mchezo wa mwisho kushinda ligi.

Hata kiimahesabu points 7 hazitutoi kwenye kinyang'anyiro ukizingatia bado tuna potentially 6 points kutoka kwa hao waliotuzidi.
 
Ungeelewa nilichoandika ingekusaidia sana
 
Hahaha , shukran sana Mkuu kwa majibu mazuri, nimependa hapo tu kuwa tuna point 6 kwa hao waliotutangulia! ! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG].
 
Game ya kesho ugenini tunacheza bila CR7,Marcelo,Kovacic,Varejo,Benzema na Kroos sijui hata itakuaje lakini naamini tutatoka na 3 points.
Sure Mkuu , wala usiwe na wasiwasi man , game itakuwa ngum sana ukizingatia current form ya wapinzani wetu, ila tuna vijana sahihi ya kuziba hayo mapengo.
 
DJ6iC12WsAIzqVX.jpg
 
Hahaha , shukran sana Mkuu kwa majibu mazuri, nimependa hapo tu kuwa tuna point 6 kwa hao waliotutangulia! ! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG].
Hiyo ni kamari, zinaweza kuponyoka na kufika gap la 13 points, leo najua mnapoteza.
 
Wewe huijui laliga vizuri, ikitokea leo mkapoteza point zote tatu, sahauni ubingwa , mtakuwa mnazipunguza points then zinarudi,tena zinaweza kuzidi.

Laliga ukishapoteza point kizembe inakula kwako moja kwa moja iwe ni mwanzo wa msimu au mwisho. Barca walipoteza point tatu mechi ya pili kama sikosei na alaves msimu uliopita, iliwatesa msimu mzima na hatimaye kupoteza ubingwa pamoja ingawa katika mechi za el clasico walidrop point mbili tu

Mkuu siieelewi la liga vizuri?? That's an insult for me. Anyway, FYI kwenye msimu wa 2015/16 Barca won la liga on the last game. Wakati kabla ya hapo tulidroo mechi mpaka ikafikia tofauti ya 12 points.
 
Hiyo ni kamari, zinaweza kuponyoka na kufika gap la 13 points, leo najua mnapoteza.
Yaani sina wasi wasi kabisa na game ya Leo , bado sihofii matokeo yoyte, ninajua bado nafasi tunayo tena kubwa sana ya kukaa pale kileleni mwa La Liga.
 
Jamaa wameshinda mechi zao zote wakifunga goli kumi na kufungwa nne. Nyie bila ila cr7 mmefunga 6 ti na kufungwa 3. Luna sababu nzuri uwahofu hawa jamaa nyumbani kwao. Tukutane nne kasorobo.
 
Worry hakuna mkuu, mashindano ndio yamenoga. Nimeona we jana na Getafe tu tia maji tia maji. Naona siku hizi Capital City linakusumbua sana.
 
Back
Top Bottom