Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,595
- 1,135
Cr7 kiboko ya mabisho
Mkuu bhana...kwahiyo CHIELLIN NA BONUCCI NI MABISHOOO SIO?...Hahaha!
Cr7 kiboko ya mabisho
Jamaa anazeeka vibaya anafungwa magoli laini laini kwa kweliii![]()
![]()
Zidane afanye kuwaingiza Morata, Bale na Kovacic wapigilie msumari wa mwisho..!!
Unakumbuka kuanzia last season ulikuwa unalalamika Perez amuuze CR7
Next Man Utd super cup kanyaga kila anayepita mbele
Kumbe hata ATM wagumu hawa walaini kabisa
Asensioooooooo
Waliofungwa goli 3 mbaka wanaingia fainali leo wamekula 4![]()
![]()
![]()
Eti wagumu!!? Wagumu huko huko kwenu
Ila wampe tu Buffon Ballon d'or kama mashabiki wa Barca wanavyotaka maana ndiyo anastaafu tena angalau atoke na chochote kitu asistaafu bila tunzo
aaaaaah kweli kabisa!!!Naona Marcello ilimbidi amuulie ule mtiti maana anajua captain mwenzake kichwa kibovu Kile hachelewi kuaribu sherehe wakati watu washaanza KUMIMINA WINE mdogo mdogo.
Mi nawatania wale timu roho mbaya wote waliokuwa wanataka apewe Gigi maana siwasikii tena sahivi.Mkuu hii haipo sio kwenye soccer tu Bali kwenye mchezo wowote ule duniani...maana hana vigezo Sasa kuwazidi wengine alafu apewe ili iweje kuipotosha jamii ya wanasoccer kuwa buffoni ndie mchezaji bora au?...anaweza ingia ile top-3 ila kubeba it's not an easily job...Neverrr!!!