christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,462
- 1,467
Ngoja niende kuwachokoza majirani...
Vikombe vi3 ndani ya misimu MinneInaitwa back to back [emoji471] [emoji471] [emoji471] [emoji471]
Duuuuuuu.......Ukuta wa biskuti leo umemwagiwa maji
HalaMadrid
Umetikimbia mkuuJuventus wanacheza mpira safi sana..
Inatakiwa Tuchukur tena Mwakani ili iwe Hat Trick
Man Of The Match Ronaldo