Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #30,321
Naona Marcello ilimbidi amuulie ule mtiti maana anajua captain mwenzake kichwa kibovu Kile hachelewi kuaribu sherehe wakati watu washaanza KUMIMINA WINE mdogo mdogo.

Kovacic [On Twitter] | We'll need a bigger trophy room soon [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG] [HASHTAG]#WeJustKeepWinning[/HASHTAG] [HASHTAG]#TheyJustKeepComing[/HASHTAG]
![]()

Hesabu ndo imewagharimu, yaani game 12 goli 3 maana yake ni wastani wa goli 1 kila baada ya game 4. Kwa hiyo kibao kiligeuzwa goli 4 kwa game 1 na wao wakapewa goli 1Yani Jana Juve walishikishwa adabu so kitoto maana wamerubusu goli nyingi(4) kwenye mechi moja kuliko goli(3) walizoruhusu kwenye mechi zao 12 za nyuma!
