Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread



Dear Madridistas, never ever doubt your side. Remember that.
 
Ushindi raha sana wakuu...hapa nipo na shemeji yenu najipigia tu kwa raha zangu! Madrid hureeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!

We jamaa ni multi tasking hatari yaani unapiga huku unafurahia na huku waandika JF
Hatari sana
 
We jamaa ni multi tasking hatari yaani unapiga huku unafurahia na huku waandika JF
Hatari sana
Niko na laptop hapa kitandani mkuu....nshapiga kimoja, sasa nipo halftime nakusanya nguvu nipige cha pili nikalale. Ushindi raha sana I see!
 
Yani namkubali Zizou mpaka basi. Tokea akiwa mchezaji hadi kocha.
Huyu ndiye mchezaji wangu bora wa miaka yote,achana nao akina Pele wenu hahahaaa

Seriously jamaa ni genius wa mpira [emoji122] [emoji122] [emoji119]
Halafu hana makuu kabisa
 
Jamaa anazeeka vibaya anafungwa magoli laini laini kwa kweliii [emoji4] [emoji4]
Mabeki wake leo walikatika sana kaka,timu nzima ya Juve Leo walicheza chini ya kiwango chao,performance haikuwa nzuri lakini Madrid kutumia Viungo wengi Zaidi yao pia ilichangia kuwapoteza Juve katika eneo la Kiungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…