Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,920
- 131,695
Jina lao la mwisho ndio lililo waponzaMtavuliwa sana taulo, kuwa na kocha kama Mourinho ni kawaida kufedheheshwa kwa falsafa zake
Jina lao la mwisho ndio lililo waponzaMtavuliwa sana taulo, kuwa na kocha kama Mourinho ni kawaida kufedheheshwa kwa falsafa zake
Utakuwa unaangaliaga mpira kwenye livescore wewe, huo ndio mfumo wa Mourinho wa wakati wote,Babu morinho mwoga Sana
hadi mechi ndogo anajaza viungo wanne
valvede, guller,silver belngham
narudia msipomtimua mtalia Sana msimu huux😆
Hiyo narrative haionekani kwenye hii gameKimsingi ukiwa na Vin Jr na Mbape kwa pamoja ndani ni una abiria wawili...wanatembea tu kama wanashiriki marathano za 5km.
Hii tunatoboa, wangekua seriously saizi wangekua na goli 3.Wakuu mnatoboa kwa wajomba hawa kweli au nae mnamfuta uanachama leo kwa kukiuka maadili....