Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Wako wapi wale waliokuwa wakisema Juventus atakuja kukaba kwenye hii mechi na kufanya mashambulizi ya kushhtukiza?
 
Anyone cam win this game....naina back 4 ya juve inakatika sana. Wanaweza wakapigwa gori za kush2kiza
 
c8c0b3aa84985146b57620db21d98cbe.jpg
 
Referee nimeanza kuwa na wasiwasi naye.
 
Back
Top Bottom