ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,463
Come on Madrid.. We can do it..!!!!!!!!!!!!
[HASHTAG]#APorLa12[/HASHTAG]
[HASHTAG]#APorLa12[/HASHTAG]
Kama una Azam UBC wanarushaKabisa, unaweza ukajikuta Muhimbili asubuhi..!! Leo nafuatilia hapahapa kwenye huu uzi..!!
We madridista..we die hard..we championsTushinde madrid ingawa mie nalala ila nitakuwa nachungulia matokeo. Mungu ibariki madrid
Kama una Azam UBC wanarusha
Tatizo ni kuangalia mkuu.. Nina kitete sana!!
Navas anamuonyesha Perez hamna haja ya kumsajili De Gea