Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Tucheze nao hivi hivi mpaka tuende nao half ya pili. Wametufunga goli la kijinga sana
 
HALF TIME: Juventus 1-1 Real Madrid (Mandzukic 27'; @Cristiano 20'). [HASHTAG]#APorLa12[/HASHTAG]

DBa5Fk6XoAA2yUZ.jpg:large
 
HT:Sisi hatuna nidhamu sana yakutoa pas nakupokea pass,hii inafanya mipango yetu kutokwenda vzr....wachezaji wetu wanasimama kusubiria mpira ufike...mawasiliano siyo mazuri sana....ukiangalia goli walilotufunga nila kizembe...beki wanamuacha mtu anapokea kifuan anatuliza anabinuka kisha anabetua kufunga....angapata msukosuko kidgo pale hata wa physical battle asingetulia...tunakaba kwa macho sana...lakini pia tunapiga sana back pass....hawa wana udhaifu mkubwa tu tukiutumia tunawalaza mapema...lakini tukifungwa mapema tutakuwa katika hali ngumu maana watarudi nyuma wanapiga kufuli inakuwa mchezo umekwisha....
 
Back
Top Bottom