Sh ngapi?Mechi ya kipuuzi sana.
Madrid wamenunua mechi.
Akikujibu nitag mkuuSh ngapi?
Hivi zimebaki game ngapi league kuisha?
Ramos ni nin tena shidaa!! huyu jamaa bana, tumeshawashika hawa wajamaa, yeye anataka kutuletea tena drama zisizo na maana bana.
Ancelloti alishindwa kufanya rotation,hii rotation imemsaidia sana Zidane.Msimu unaisha lakini wachezaji bado wako fit na wachezaji karibia wote wametoa mchango kwenye mafanikio ya timuZizu kamjulia CR7 kumpumzisha kunamsaidia. Anazeeka na ubora wake
Jamaa sijui ana matatizo gani kwa kweli!! alaf licha ya kuwa na kadi ya njano, Bado aliendendelea kuleta mambo yake yasio na maana!!Huyu Ramos ni stupid sana huyu, sijui yukoje huyu!
Baba mwenye nyumba huyoJamaa sijui ana matatizo gani kwa kweli!! alaf licha ya kuwa na kadi ya njano, Bado aliendendelea kuleta mambo yake yasio na maana!!