Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

FULL TIME: Celta 1-4 Real Madrid (Guidetti 69'; Cristiano 10', 48', Benzema 70'; Toni Kroos 88'). [HASHTAG]#RMLiga[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]

DADoAfgXsAAn94I.jpg
 
now we need a point at malaga
i 've always felt this yea we can take la liga

lets go, hala madrid
 
na hivi kocha wa Malaga José Miguel González alikuwa mchezaji wa Madrid nadhani atapenda zaidi team yake ya zamani ikichukua ubingwa.............................nadhani atacheza fair game😀😀😀😀😀😀😀
 
Madrid wangemuuza Bale, maana mcm mzima Ni majeruhi tu, tetesi za lsco kuuzwa hazpo tena, jamaa amekomaa sasa Na anaweza kuibeba Madrid kma midfield
 
na hivi kocha wa Malaga José Miguel González alikuwa mchezaji wa Madrid nadhani atapenda zaidi team yake ya zamani ikichukua ubingwa.............................nadhani atacheza fair game😀😀😀😀😀😀😀

Mechi ya kipuuzi sana.

Madrid wamenunua mechi.

Majirani msije kuanzisha Malaga Special Thread
 
barca fans baada ya celta kurudisha goli moja...
Screenshot (184).png

kumbe walikuwa wanakaribishwa tu kwa vinywaji chakula kilikuwa bado
 
Historia kwa msimu wa 2015/16 na 2016/17 malaga imedraw mara 2 na imefungwa mara 2 yaani haijawahi kushinda mbele ya Real Madrid.Na sis tudraw au kudhinda tu,so nafas kubwa kwa ndoo kubebwa na Real Madrid..over
 
Back
Top Bottom