Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

sema ule upande wa danilo hata siuamini sana maana naona mashambulizi mengi yanatokea kule
 
Hapa tumbo joto kweli!! hawa wajamaa wametupania kweli kweli, sio kwa kutushambulia hivyo!!
 
HALF TIME: Celta 0-1 Real Madrid (Cristiano 10'). [HASHTAG]#RMLiga[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]

DADYlahWsAITmEo.jpg:large
 
Afadhali tumeenda half time tukajipange upya, yaani unaweza ukazuia mpaka ukajikuta unajifunga mwenyew!!
Hii game ingewezekana tungetia Kovacic ndani, sababu akina Modric wanabaki sana nyuma kwa kuogopa kulipua nyumba!!
 
Hii game bila kudefend itakuwa hatari. Lakini subiri tunawapiga second half hawa, Zizou have got tricks for big games
 
803c98918a802b0ba4e18db8633982bb.jpg

RECORD: Cristiano Ronaldo now has 367 goals in Europe's top 5 leagues; more than any other player in history.

Next up: Jimmy Greaves (366).
 
Isco with a counter attack rolled it to Ronaldo behind the defense to score RM 2nd goal tonight
 
Back
Top Bottom