Namuhi
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,068
- 1,103
Huyu wakala ni hatari sanaMbappé's agent is Jorge Mendes. Reported by ElBernabeu.
Huyu wakala ni hatari sanaMbappé's agent is Jorge Mendes. Reported by ElBernabeu.
Kaka hapa umejichanganya kidogo Bale Na di Maria walicheza pamoja msimu wa 2013 /14 na kama unakumbuka goli la pili kwenye fainali ya UCL 2014 di Maria alipiga shuti golini kipa akapangua Bale akamalizia.
Ipo hivi 2013 Ozil aliuzwa kumpisha Bale, na 2014 Di Maria aliuzwa kumpisha James
Di Maria kuuzwa ilikuwa kosa kubwa sana
Mkuu ishu ya kuuzwa kwa Di Maria, haina tofauti sana na ya Ozil, wote hawa walishawishiwa na wazazi wao, wote hawa walikuwa na malalamiko ya nyongeza ya mshahara, bahati mbaya club haikufika dau Lao, Hapo ndio mzozo ulipoanzia, ile mabishano maboss wakaona isiwe shida wakawapa green light watembee. Hii ishu mpaka Leo Di Maria anajutia alichofanya, Ozil ndio kabisaa alizinguana na Baba yake mazima!!Di Maria kuuzwa ilikuwa kosa kubwa sana
Nakupinga kwa hili mkuu, James hapati nafasi lkn kila akiingia lazma aache alama kwenye game husika!James ni average player kwa Real
Na Real walikosea mnunua na walipoteza hela
James na Bale ni useless kwa bei walizonunuliwa