Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #29,081
Globoesporte: Flamengo want Vinicius to be loaned back until June 2019. Real Madrid want to see his progress in next 12 months.
Vizuri hawa celta inabidi kuwakimbiza mwanzo mwisho na kila mtu katika squad ana passion ya kutoshaZidane would not rotate the squad for the upcoming games much. This is the squad that will most likely start the last two Liga games.
![]()
mtu ambaye kaitendea haki pesa yake ni CR7 tuu hawa wengine wameshindwaHuyo Mbape na Vicius watakuwa flops na Real itakuwa imepoteza hela nyingi tu
Sijui kwanini Real hawajifunzi kutokana na makosa ya kununua watu bei kali afu hawafanyi lolote la maana
Gareth pia kaitendea hakimtu ambaye kaitendea haki pesa yake ni CR7 tuu hawa wengine wameshindwa
James ni average player kwa Real
Na Real walikosea mnunua na walipoteza hela
James na Bale ni useless kwa bei walizonunuliwa
Toni Kroos speaking to BeinSport after the game: "I am never nervous. It's only football, no reason to be nervous."
Huyo Mbape na Vicius watakuwa flops na Real itakuwa imepoteza hela nyingi tu
Sijui kwanini Real hawajifunzi kutokana na makosa ya kununua watu bei kali afu hawafanyi lolote la maana
Mkuu me sina mengi ya kuongea hapo isipokuwa...sikupenda ile hatua ya kumuuza Dimaria then kumleta bale...kwangu Mimi Bale sio mchezaji Mbaya ila alikuwa si wakusababisha Dimaria auzwe aletwe yeye kipindi kile.
Kaka hapa umejichanganya kidogo Bale Na di Maria walicheza pamoja msimu wa 2013 /14 na kama unakumbuka goli la pili kwenye fainali ya UCL 2014 di Maria alipiga shuti golini kipa akapangua Bale akamalizia.Mkuu me sina mengi ya kuongea hapo isipokuwa...sikupenda ile hatua ya kumuuza Dimaria then kumleta bale...kwangu Mimi Bale sio mchezaji Mbaya ila alikuwa si wakusababisha Dimaria auzwe aletwe yeye kipindi kile.
Kweli kabisa maana aliyoyafanya James hata Di Maria alikuwa ana uwezo wa kufanyaDi Maria kuuzwa ilikuwa kosa kubwa sana