Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,994
naomba nisingizie kuwa Sevilla waliwakosa nyota wao wengi. nasikia Celta wamepumzisha wakali. jtano itakuwa mechi kali sana.Real Madrid 4 Sevilla 1
naomba nisingizie kuwa Sevilla waliwakosa nyota wao wengi. nasikia Celta wamepumzisha wakali. jtano itakuwa mechi kali sana.Real Madrid 4 Sevilla 1
Hahaha, angalia usije kujitetea tena hiyo ya Celta, sababu wamepumzisha nyota wao!! sasa hiyo Jumatano tunaenda kuwalipua kabisa!!naomba nisingizie kuwa Sevilla waliwakosa nyota wao wengi. nasikia Celta wamepumzisha wakali. jtano itakuwa mechi kali sana.
jtano afe kipa afe beki patachimbikaaaanaomba nisingizie kuwa Sevilla waliwakosa nyota wao wengi. nasikia Celta wamepumzisha wakali. jtano itakuwa mechi kali sana.
Real Madrid hawachezi vizuri sana lakini sioni timu ya kuizuia kuchukua ubingwa,sifa kubwa ya Zidane ni kusoma mchezo wa wapinzani na kufanya sub zinazoisaidia sana timu.Game nyingi sana Real Madrid wanashinda kipindi cha pili baada ya kuwasoma wapinzani mwanzo na wanafunga magoli ya haraka harakanaomba nisingizie kuwa Sevilla waliwakosa nyota wao wengi. nasikia Celta wamepumzisha wakali. jtano itakuwa mechi kali sana.
![]()
Real Madrid are the only team to have scored six or more goals in a La Liga game against Sevilla in the last 10 years (three times).
This season, Real Madrid won against Sevilla the UEFA Super Cup and they also knocked out them in the Copa del Rey.
Cristiano Ronaldo has scored 23 goals against Sevilla in all competitions, his favourite opponent in terms of goals scored.
Sergio Ramos has scored in each of his last three games against Sevilla in all competitions - two goals scored for Real Madrid and an own goal in Sevilla's favour.
Real Madrid have scored in their last 47 league games, their longest scoring run in the competition.
James Rodriguez has been involved in more goals than any other La Liga midfielder this season (23 - 11 goals and 12 assists).
hakuna nyota apo, tumekalisha buryen, ateletico ije kua hawa Celta?naomba nisingizie kuwa Sevilla waliwakosa nyota wao wengi. nasikia Celta wamepumzisha wakali. jtano itakuwa mechi kali sana.
achana na huyo mbaselonahakuna nyota apo, tumekalisha buryen, ateletico ije kua hawa Celta?
Ready for our last home match of the season and the first of three LaLiga 'finals'.
![]()
![]()
![]()
![]()
aisee kijana bado unapost tu humu hilo group lako la kubet..?? umeshaacha kuchangisha watu pesa maana lile jukwaa la
Dah!...James anaondoka lakini I know he is having a doubt inside himself about "WHY ME LEAVING THE EUROPEAN GIANTS?"...Let's Us([HASHTAG]#ALLMADRIDISTAS[/HASHTAG]) give our thanks to him for his contribution at the club and wish him a successful season on his next career club...The guy is wonderful and he will be remembered!!!