Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

The Bernabéu is looking great for our final home match of the season! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]

C_y-QBbXUAAoXcZ.jpg
 
Inakuaje Leo Marcelo simuoni kwenye walioitwa?

Marcelo amepewa mapumziko. Lakini kuna kitu hapa sijaelewa, jinsi Danilo alivyoshuka kwenye basi na kuingia Bernabéu naona kama kuna dalili flani hivi atapewa gwanda leo, tusubiri lineup itatoka baada ya dakika 25 hivi.
 
Thanks for the info boss.
 
Real Madrid XI vs. Sevilla: Keylor Navas; Danilo, Ramos, Varane, Nacho; Kroos, Kovacic, James; Asensio, Morata, Ronaldo
 
Playing Nacho instead of Marcelo as a LB most probably because Sevilla going in with 2 strikers and a pretty congested midfield is not a bad decision. Instead of a fullback we need someone who can just stay in his own half and defend. Hope it ends well.
 
hivi jaman hili goli la Nacho ni lenyewe kabsa

maana hata mi sja lilewa elewa
 
Playing Nacho instead of Marcelo as a LB most probably because Sevilla going in with 2 strikers and a pretty congested midfield is not a bad decision. Instead of a fullback we need someone who can just stay in his own half and defend. Hope it ends well.
yeah
umeona mbali sana mjomba
 
Back
Top Bottom