Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Very good read.

18010567_1569796326378455_313998932292636621_n.jpg
 
Real Madrid have lost just 3 of their 50 games this season, they have not had lower losses after 50 games in over 30 years.
 
MARCELO 9 DRIBBLES AND 8 CHANCES CREATED!THE GREATEST UCL PERFORMANCE FROM A LB [Sky Sports]
Jana ulikuwa ni mwendelezo wa Marcelo kudhihirisha ukali wake!! Jamaa anajua sanaa, kama sio LB bana. Halafu kuna kitu sikukielewa, dakika za mwisho mwisho nilimwona Marcelo akiwa katikati ya dimba, huku Marco Asensio ndio alikuwa kama LB. Sasa sikuelewa kuwa walikubaliana tu hivyo au ni Zidane tu aliamua kutumia Marcelo kama kiungo!!
 
Iker Casillas on Sunday’s El Clasico: "My hope is that Real Madrid win and they can claim the league title because in my opinion, they deserve it."

18033863_1571015316256556_1960045290214904630_n.jpg
 
Jana ulikuwa ni mwendelezo wa Marcelo kudhihirisha ukali wake!! Jamaa anajua sanaa, kama sio LB bana. Halafu kuna kitu sikukielewa, dakika za mwisho mwisho nilimwona Marcelo akiwa katikati ya dimba, huku Marco Asensio ndio alikuwa kama LB. Sasa sikuelewa kuwa walikubaliana tu hivyo au ni Zidane tu aliamua kutumia Marcelo kama kiungo!!
Marcelo anajua sana. kwenye ligi ana assist tano, kuliko hata wenye kazi hiyo.
 
Gareth Bale returns to train with the Group!!
Kama vp hiyo Jumapili aanzie bench kabisa, anaonekana bado hajapona vizur, kama kawa Isco/Asensio aanze ili tuwe na balance nzuri kwnye kiungo., ninajua kabisa tukicheza 4-4-2 tunaondoka na ushindi hiyo Jumapili.
 
Mi pale kwa Benzema tu, kama vipi waanze na Ronaldo, Isco & Asensio
 
Back
Top Bottom