Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,547
- 10,273
Huyu Germany machine khabari zake nzito. Akipata ahuweni ndio faraja kwetu.Mmh!! hawa vijana ni muhimu sana kwenye El clasico, hope wataungana na wenzao mapema kwnye mazoezi.
Huyu Germany machine khabari zake nzito. Akipata ahuweni ndio faraja kwetu.Mmh!! hawa vijana ni muhimu sana kwenye El clasico, hope wataungana na wenzao mapema kwnye mazoezi.
Tutawapiga tu hao UCL kitu kingine.Wakuu, yametimia.
Another Semi-final UCL derby. Tunaanza uwanja wa nyumbni then twamalizia Calderon.
Ninaona UEFA wameamua safari hii ugomvi wetu tuumalizie nusu fainali, sio mbaya sana, tutapambana na hawa vijana tena, na Safar hii tunamalizia kwao.Wakuu, yametimia.
Another Semi-final UCL derby. Tunaanza uwanja wa nyumbni then twamalizia Calderon.
Yeah. Two leg sparks is better, u know. Ukishindw moja, una nafasi ya kurekebisha second leg.Ninaona UEFA wameamua safari hii ugomvi wetu tuumalizie nusu fainali, sio mbaya sana, tutapambana na hawa vijana tena, na Safar hii tunamalizia kwao.
Kabisa Mkuu, ila ninavyowajua hawa ndg zetu na ikizingatia tunamalizia kwao, sipati picha mashabiki zao watakavyokuwa wanaimba nyimbo za hamasa wakiongozwa na Simeone, utakuwa ni usiku mrefu sana siku hiyo.Yeah. Two leg sparks is better, u know. Ukishindw moja, una nafasi ya kurekebisha second leg.
Sure. ila, ninaona saivi timu yetu ina moto wa kutosha kuichana AtleticoKabisa Mkuu, ila ninavyowajua hawa ndg zetu na ikizingatia tunamalizia kwao, sipati picha mashabiki zao watakavyokuwa wanaimba nyimbo za hamasa wakiongozwa na Simeone, utakuwa ni usiku mrefu sana siku hiyo.
Hawa watapigika tu. Walimzoea Carlo ila kwa zizoe lazima wachomoke tu.Kabisa Mkuu, ila ninavyowajua hawa ndg zetu na ikizingatia tunamalizia kwao, sipati picha mashabiki zao watakavyokuwa wanaimba nyimbo za hamasa wakiongozwa na Simeone, utakuwa ni usiku mrefu sana siku hiyo.