Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,203
- 5,457
Ila Benzema duu!! Jamaa huwa simwelewagi kabisa man, huwa ninaona kama Morata ni mwepesi kuliko Benz.,Mi pale kwa Benzema tu, kama vipi waanze na Ronaldo, Isco & Asensio
Hapo kwa Asensio na Isco kuanza nalo ni jambo jema sana, Ronaldo anaweza kusimama mbele peke yake na bado akawalaza watu njaa, Tatizo ni Zidane, jamaa naye ni mbishi mno, sioni akimweka bench Benz labda kama ana mejeraha.