Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

FT
BVB 2-2 RMA

Zizou anambeba sana Benzema...Alipaswa kutoka mapema sana ...Ni ajabu anamchezesha mpaka dk ya 88 na kumuacha nje Morata...

Draw sio mbaya though...Hasa unapocheza ugenini na timu kama BVB...

Hala Madrid...

Tukutane Jumamosi game na Eibar
 
Daah hili gundu aisee timu zenye jezi ya njano zinaigana mfumo wa kucheza dhidi ya Madrid lkn hawajaweza kutufunga,muhimu Navas mwanzoni alifanya mistake za kupunch mpira but baadae alitulia na kufanya kazi yake,ila ckuona sababu ya kutokucheza Vazquez na morata kuchelewa kuingia vinginevyo timu ilikuwa committed Leo tofauti na gemu zilizopita.
 
Mkuu zizou anambeba sana huyu jamaa...hii game ya leo ilikuaa siyo yakutoa draw kabisa...timu ambayo wewe unatangulia kufunga halafu wao wanakuja kuchomoa ujue weww timu yako ipo na tatizo mahali...sisi kuwa hovyo katika kiungo ukabaji na beki yakushoto ilitakiwa mbele tuwe makini sana...sasa benzema kila akigusa mpira lazima abinuke...kukimbia hawez tena...
 
Kutoa draw ugenini Iduna Park na BVB sio kitu kidogo kaka...Ni jambo la kushukuru kuliko tungefungwa na kupoteza kabisa..
Mkuu hii game jina la BvB ndo limetuchanganya labda ila kwetu ilikuwa yakushinda hii maana tulikuwa tunatengeneza nafasi ila hatuzitumii vyema..morata kaingia dakika za majeruhi ila umeona cross aliyopiga beki akaokoa...
 
Kweli Ndg, BvB siyo kitu kwetu tatizo liko kwa Zizou kumng'ang'ania Benzema wakati Morata yupo mwenye uchu wa kuweka rekodi.
 
Daah hili gundu aisee timu zenye jezi ya njano zinaigana mfumo wa kucheza dhidi ya Madrid lkn hawajaweza kutufunga,muhimu Navas mwanzoni alifanya mistake za kupunch mpira but baadae alitulia na kufanya kazi yake,ila ckuona sababu ya kutokucheza Vazquez na morata kuchelewa kuingia vinginevyo timu ilikuwa committed Leo tofauti na gemu zilizopita.
mi nafikiri shida kubwa ni kukosekana kwa Casemiro na Marcelo.
 
Afadhali umbebe mtu anayebebeka, Benzema habebeki kabisa!! Ninaona Zizou anahamu ya kupigiwa kelele pale Santiago, na atazipata muda mrefu!!
Kweli kabisa benzema wanazingua sana pale mbele,imefika mda naye aanze kuchoma mahindi.
 
Daah hili gundu aisee timu zenye jezi ya njano zinaigana mfumo wa kucheza dhidi ya Madrid lkn hawajaweza kutufunga,muhimu Navas mwanzoni alifanya mistake za kupunch mpira but baadae alitulia na kufanya kazi yake,ila ckuona sababu ya kutokucheza Vazquez na morata kuchelewa kuingia vinginevyo timu ilikuwa committed Leo tofauti na gemu zilizopita.
Sure!! Leo tumetoka draw ila nilipendezwa na jinsi team ilivyojituma tofauti na ile Villareal, Makosa madogo tu Leo ndio yametukosesha ushindi, pia na Zizou kuchelewa kumtoa Benzema,
Bale na yeye sijui ni uchovu, alikosa pale kweli, hata kama jamaa aliugusa, sio sehemu ya kukosa pale
 
Kweli kabisa benzema wanazingua sana pale mbele,imefika mda naye aanze kuchoma mahindi.
Na akikaa bench yule sijui itakuwaje, kama anapata nafasi ya kucheza alaf anakuwa vile, vp akikaa bench? si unaweza kuwa mwisho wake pale Bernabeu?
 
Mkuu zizou anambeba sana huyu jamaa...hii game ya leo ilikuaa siyo yakutoa draw kabisa...timu ambayo wewe unatangulia kufunga halafu wao wanakuja kuchomoa ujue weww timu yako ipo na tatizo mahali...sisi kuwa hovyo katika kiungo ukabaji na beki yakushoto ilitakiwa mbele tuwe makini sana...sasa benzema kila akigusa mpira lazima abinuke...kukimbia hawez tena...

Msimseme Benzema tu. James vile vile sijui kafanya nini mle uwanjani. Midfielder gani yule, akabi na wala sijaona tacle hata moja mipira ya vichwa ndio bure kabisa. Hawezi ku feed forward na kila akigusa mpira pasi fyongo. Jamaa wamecheza mpira kama wamecheza na Getafe vile.
 
Back
Top Bottom