Technically Madrid ina DM mmoja tu Casemiro Kidogo na Modric. Ila James na Kroos kwenye kukaba sio wa kuwategemea kabisa.Msimseme Benzema tu. James vile vile sijui kafanya nini mle uwanjani. Midfielder gani yule, akabi na wala sijaona tacle hata moja mipira ya vichwa ndio bure kabisa. Hawezi ku feed forward na kila akigusa mpira pasi fyongo. Jamaa wamecheza mpira kama wamecheza na Getafe vile.
Technically Madrid ina DM mmoja tu Casemiro Kidogo na Modric. Ila James na Kroos kwenye kukaba sio wa kuwategemea kabisa.
pole mtaniNdio manaake. At the end tunalaumu poor defending lakini angalia game ya Jana. Wamewaacha BvB na possession yote unategemea nini. Lakini nafikiri timu ni nzuri kuliko ile ya Ancelotti. Akirudi Marcelo na Casemiro, Banzema Bench acheze Morata tutaona mabadiliko.

Kweli kabisa Jana alipiga kazi kubwa sana upande wa kushoto licha ya kwamba cio upande wake lkn alichoelekezwa alikifanya kwa moraleDanilo vs. Dortmund:
• 62 Touches
• 78.4% Pass Accuracy
• 7 Tackles
• 4 Interceptions
• 4 Clearances
• 2 Crosses
Amazing performance tbh against a tough opponent. It's not even his prefered position, Loving this new Danilo. Complete new attitude and so confident when he's trying to snitch the ball back from rivals.